Nakiri kuwa mimi sishabikii Simba, maoni nayotoa hapa sio ya kiushabiki bali ni uhalisia wa hali ilivyokuwa uwanjani
1.Pengo la Ahoua nadhani mmeliona. Zile faulo zilizokuwa zinapigwa pale nje ya box ingekuwa yule jamaa nadahni Mashujaa wangekuwa wameisha tangu kipidi cha kwanza. Wakati mwingine wekeni ushabiki pembeni, jamaa ni professional wa mipira ya kutengwa.
2.Mpira wa Simba kwa ndani ya Ligi nashauri usioneshwe kwenye TV maana matanganzo haya yanafika mbali na kimsingi karibu mechi zote za Simba msimu huu zimetawaliwa na utata wa kubebwa na waamuzi.
3.Tuondoe ushabiki pembeni tunahitaji kuwa na mpria wa haki ili tufurahie burudani sote . Mtu akipigwa, apigwe kihalali na sio kubebwa bebwa tu.
4. Wapo watu wanahoja eti kwa kuwa timu pinzani zinazocheza na Simba zinahaidiwa pesa, basi wao wanamalizana na refa. Hii ni hoja ya kitoto sana, hivi ahadi ya goli la mama kwenye mechi za kimataifa unaweza fananisha na hongo/rushwa. Kwamba RS Berkane waseme kwa kuwa Simba wamehaidiwa pesa, basi sisi tudeal na marefa. Ladha ya mpria itatoka wapi kwa mtindo huu.
5. Imeibuka hoja kuwa timu ndogo zinaikamia Simba. Ipo hivi kwa sasa Simba ndio timu ambayo ipo juu kwa Tanzania, wachezaji wa timu ndogo wanapocheza na timu ndogo wenao, wafuatiliaji wa hizo mechi ni wachache hivyo wachezaji hawajulikani. Ila inapokuja kutokea wanacheza na Simba, wafuatiliaji ni wengi na achezaji wanataka waonekane ili wapate fursa kwingineko. Hii hali ilikuwepo hata kipindi Yanga wanafanya vizuri kimataifa ukamiaji ulikuwepo. Hao kina Awesu, Baka,Kagoma, Fei wote wameonekana kwenye mashindano yanayotazamwa na wengi.
6.Mwisho kama mpenzi wa Mpira tuuukatae na kuukemea huu uhuni wa marefa. Mpira ni burudani, tunataka tuburudike na sio kuleta janja janja tu. Hivi kwa mfano mechi inaanza refa anawapa Simba penati au Yanga penati bila hata watu kucheza mpira kuna burudani gani hapo inayopatikana? MSIJIZIME DATA KWA KUWA MATOKEO YAMEKUWA UPANDE WENU, KUNA SIKU YATAKUWA UPANDE WA WENGINE WATAWAAMBIA MBONA NA NYINYI ILIKUA HIVI NA MLIFURAHIA. SIO KILA SIKU BAHATI ITAKUWA UPANDE WENU TU. TUKEMEE HILI JAMBO.