Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,778
- 13,684
Kafanya sana matukio ya ujambazi akiwa Mwanza.
Soma vizuri uelewe mtuririko umechangia kwa kukurupuka na chuki! Unajua mwanasiasa anayejenga hoja na akazitema!Watu mna masihala yaani unamuweka Lema kwenye level za Mwalimu Nyerere. Ebu tuacheni tupumzike. Lema huyu anaejiita mkimbizi wa kisiasa![]()
Hakuna mtu aliwahi kuthibitisha hizi tuuma za wizi dhidi ya mwanadiaspora Lema .Sio vizuri kuchafuana ni dalili ya kufilisika kifkra.BAISKELI