Agodai mabebeeeAlbum yake mbovu.. sijaona nyimbo ya maana walau moja.
Content kubwa kwenye album ni Diamond na Rayvanny bila hivyo hali ingekuwa mbaya zaidi.
Mkuu nikikumbuka zile ngoma zake..Album mbovu,
Huyu jamaa huwa anajua sana kuandika na mamelody lakini sijui zinaenda wapi siku hizi.
Halafu hii tabia ya kuchukua vionjo vya nyimbo za wengine inamshusha sana!
why ft.SarkodieNitajie wimbo ambao utasema Hamo kanyoosha haswa...
Kumbe umesikia?Mbona nasikia kumejaa vichambo tu..
Had wee umemkubali bas case kwisha,Kondeboy ni fighter af mtu wa Wana Sana , kutojifungamanisha na wadada Sana kama ilivyozoeleka Kwa wanamziki wa WCB kumempa hipe Kwa Wana wa kitaa, kwenye vijiwe vya washikaji Kondeboy anakubalika kinyama
Harmonize msanii Bora,tatizo yeye ni mfupi saaana analeta shida kuangalia video zake maana kwa ukubwa wa TV yangu inches 62 anaoneka kituko
Album yake mbovu.. sijaona nyimbo ya maana walau moja.
Content kubwa kwenye album ni Diamond na Rayvanny bila hivyo hali ingekuwa mbaya zaidi.
nyau)Mimi ni chizi muziki napenda kila aina ya muziki najua mziki mzuri na mbaya.
Tukianza na ushabiki mimi ni timu Diamond
Yani Simba namkubali kindaki ndaki ata akifanyaga upuuzi huwa naona sawa tu. Ila niwe mkweli tuu leo nimesikiliza album ya Harmonize aisee huyu jamaa ni noma katika nyimbo 17 nimependa nyimbo kama 10.
Mara nyingi wasanii wa bongo wakitoa album unaishia kupenda 3 mpaka 5. Yaani toka waanze kutoa maalubam yao ukiacha ile ya darasa basi hii itakuwa ya pili kuipenda.
Nimegundua kitu kwa Hamo, Harmonize hana sauti nzuri ya kuvutia ila ni fundi mzuri wa kucheza na melody. Ndo mana pia tunamuana anafanya vizuri kwenye amapiano na kwenye hii album amenisibitishia hilo kupitia nyimbo yake ya singeli alo imba kiingereza.
Na chakumalizia ni kwamba jamaa naona anaharibu tu kwenye video yaani anakuwa ajiongezi kabisa anashindwa hata na MARIOO.
Audio worldwide halafu video za kawaida.