wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,797
Kuanzia kituo cha mwendo kasi cha standi mkoa kuelekea Kimara na kwa kuanzia kituo cha mwendo kasi Ubungo TANESCO kwa kuelekea K/koo kwa kupitia juu kwenye hiyo fly over kwa kiasi kikubwa cha haya magari ya mwendokasi yanavyojaza abiria ule mwinuko wa hiyo barabara ya juu kwa jinsi magari yanavyoshana abiria tutarajie magari yote kuharibika.
Ule mwinuko na magari yenyewe ni automatic kitendo cha kutoka kituoni hadi lianze kupanda ule mwinuko na kwa wingi wa abiria gari halijachanganya gia linakutana na mwinuko kama abiria wasipopunguzwa kwa ujazo wa gari tutarajie mradi wa magari hayo kufa gear box au engine kabisa.
Ombi langu kwa serikali kama yakianza kupita juu kuwe na kiwango cha abiria kupanda gari kama wanavyosimamia panton pale Kigamboni.
Asanteni.