Mnapo mbeza msisahau kuja kumkumbuka yakitokea. Hana wazo baya ila mmeamua tu kumbeza ila ngoja tuyaoneWewe jamaa unamiliki gari au huwa unapanda tu.
Rudi darasani kisha ufanye practical ya udereva
Duh mtaalam mwingine huyu!Matatizo ya flyover ya ubungo
1. Zile kona unapo karibia kituo vha mwendo kasi ukitoka kimara tutegemee majanga hasa magari makubwa.
2. Ile kona ya kuanza kupanda fylover ukitoka kimara kuelekea mjini ni kali sana kiasi cha magari makubwa kuchukua njia nzima wakati wa kukata kona.
3. Junction kati ya samnojoma na kituo cha sim 200 kama wataweka mataa kutakua nanusumbufu mkubwa sana labda watafute solution nyingine.
Kwa ujumla flyover imejengwa kw uimara mzuri sana .
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nikusaidie kitu, kafanye homework urudi na mrejesho gari za mwendokasi zina Horsepower ngapi na mwisho wa kubebe ni Tonne ngapi, pia torque inayotengenezwa kwa rpm 1/1000 ni ngapi.
Ukiyajua hayo utasolve mystery yako ya uoga.
Ahaa sawa kabisa hujakoseaWewe ni mzalendo, huna elimu ya magari au muoga? Maana ulichoandika ni pumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu najuaWee ndio unasema
Maana uvundo uko kwenye mfuko ukiguswa tu unatoboka alafu fasta unanukaNiguse ninuke...!