Apumzike Kwa Aman Sam.
sasa mim mkuu niliota ndoto mwezi mmoja ulopita, kwny ndoto nakua naangalia angani then naona nyota tatu zinatembea kwa mfuatano na katika direction moja, katika hzo nyota, ya mbele ni nyota flan yenye mwanga wakufifia, lakini mbili za nyuma ni kubwa kiasi zimeng'aa sana tena sana, kitu kama hicho nimekiota tena wiki iliopita,
na jambo lingine ni kwamba mara nying ninapokua nimeka eneo flan au natembea sehem peke yangu huwa nahis kabisa pemben yangu au maeneo niliopo pananyoka
Tafsiri tafadhali kwa yeyote mwenye idea na hicho nilichokiota, ntashukuru,