Tanzanian kid
Member
- Apr 1, 2025
- 98
- 143
Technical UX Feedback kwa Mfumo wa eRITA
leo nilikua napitia huu mfumo wa kuhakiki vyeti vya kuzaliwa na vifo lakini kuna baadhi ya vitu nimekutana navyo upande wa UI/UX (user interface na user experience) kwangu mimi kama front end developer nimeona baadhi ya maeneo kama date (both birth and death) pafanyiwe marekebisho
Wakati wa kuingiza tarehe ya kuzaliwa au tarehe ya kifo, mfumo wa sasa unamlazimu mtumiaji kufanya scroll ndefu ya miaka hadi apate mwaka sahihi. Hili linaathiri:
Ufanisi wa mtumiaji (efficiency): Mtumiaji anapoteza muda mwingi.
Tija ya matumizi (user satisfaction): Inachosha na kudiscourage watumiaji, hasa wanaotumia simu.
Accessibility: Watumiaji wazee au wenye matatizo ya kuona wanaweza kupata ugumu zaidi.
Pendekezo la Maboresho (UX Improvement Suggestion):
Badala ya kutumia date picker inayoscroll miaka, pendekezo bora ni kutumia dropdowns tatu tofauti kwa:
1. Mwaka (Year)
2. Mwezi (Month)
3. Siku (Day)
Mfumo huu unafanikisha mambo yafuatayo:
Urahisi wa kuchagua mwaka wa zamani haraka, bila scroll ndefu.
Modularity: Unaweza kudhibiti leap years kwa mwaka husika.
Consistency na mifumo mingine mikubwa kama Facebook, Gmail n.k.