Maoni Yangu Juu ya Polisi Tanzania

Maoni Yangu Juu ya Polisi Tanzania

Masai wa Town

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
6,542
Reaction score
23,859
Zamani Polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi.

Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na Diploma mbalimbali zinazohusiana na majukumu yao ili iwe rahisi kufanya kazi kwa logic na siyo kwa inferiority complex na nguvu pasipohitajika nguvu.

Kwa intake mpya ya Polisi waajiriwe wenye elimu na siyo waliofeli O-level maana Tanzania kwa Sasa Kuna wasomi wa kutosha.

Nawasilisha
 
Zamani polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi.

Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na diploma mbalimbali zinazohusiana na majukumu yao ili iwe rahisi kufanya kazi kwa logic na siyo kwa inferiority complex na nguvu pasipohitajika nguvu.

Kwa intake mpya ya polisi waajiriwe wenye elimu na siyo waliofeli O-level maana Tanzania kwa Sasa Kuna wasomi wa kutosha.

Nawasilisha
Na kweli hawa ni Ma-Pilisi wakubwa na hawafai.
 
Polisi asilimia 95 wanaajiriwa ambao wanajua kusoma, kuandika na kuhesabu tu sababu ni rahisi kufuata amri bila kuhoji. Asilimia zilizobaki ndio wataajiriwa wasomi wachache tu ambao hao wanakuwa kwenye vitengo kama IT, Sheria, zahanati n.k.

Mbwa haihitajiki kuwa educated ila anatakiwa awe trained vivyo hivyo kwa polisi. Pia polisi wa chini hawatakiwi wawe na maisha mazuri ili wawe na chuki na hasira waweze kuwa manipulated kirahisi na mfumo unaowalipa.
 
Hao mnawalaumu bure tu. Ni maskini ka wabongo wengine. Tofauti na fani zingine pt ina ujeshi ndani yake yaani kufuata amri lakini kulingana na sheria, kanuni, na miongozo mbalimbali . Sasa kijana mdogo njaa kali akiambiwa panda gari kuzuia mkutano flani anakataaje? Anajiamini nini?
 
😃😃😃
 
Kweli aisee 😅
 
Zamani polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi.

Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na diploma mbalimbali zinazohusiana na majukumu yao ili iwe rahisi kufanya kazi kwa logic na siyo kwa inferiority complex na nguvu pasipohitajika nguvu.

Kwa intake mpya ya polisi waajiriwe wenye elimu na siyo waliofeli O-level maana Tanzania kwa Sasa Kuna wasomi wa kutosha.

Nawasilisha

Polisi wanapoajiriwa huwa hawapimwi akili Bali huwa wanapimwa urefu wa mwili tu.

Kwa Tanzania, Polisi ndio ambao wamekuwa vinara wakubwa sana katika kutenda Uhalifu badala ya kuzuia uhalifu. That's why unaona kwamba Jeshi la Polisi limepoteza kabisa uhalali wote wa kuendelea kuwa Jeshi la Serikali katika nchi yoyote ile.
Linapaswa kuvunjwa kwa sababu Wananchi wote kabisa. (isipokuwa wao wenyewe) tayari wamepoteza Imani nalo
 
Noma sana
 
Issue ni elimu tu, wakiendelezwa mambo yatakaa sawa
Siyo kweli kabisa, tatizo ni kwamba Katiba ya nchi hii ni mbaya Sana, na Sheria zingine zote zilizopo kwenye nchi hii pia ni mbaya Sana kupita kiasi, Sheria mbaya na Kandamizi.

Kumbuka: Kazi kubwa kabisa ya Jeshi la Polisi katika nchi yoyote ile ni KULINDA KATIBA YA NCHI pamoja na KUSIMAMIA SHERIA ZA NCHI
 
Kwahiyo tatizo kuu ni katiba
 
Back
Top Bottom