Maoni Yangu Juu ya Polisi Tanzania

Maoni Yangu Juu ya Polisi Tanzania

Siyo tupambane ili tupate Katiba, bali tunapaswa kujitoa mhanga ili kupigania Upatikanaji wa KATIBA MPYA AMBAYO NI NZURI pamoja na Upatikanaji wa Sheria Mpya AMBAZO PIA NI NZURI zenye kuzingatia HAKI na DEMOKRASIA YA KWELI.
❤️🧢🙏🏽
 
Zamani Polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi.

Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na Diploma mbalimbali zinazohusiana na majukumu yao ili iwe rahisi kufanya kazi kwa logic na siyo kwa inferiority complex na nguvu pasipohitajika nguvu.

Kwa intake mpya ya Polisi waajiriwe wenye elimu na siyo waliofeli O-level maana Tanzania kwa Sasa Kuna wasomi wa kutosha.

Nawasilisha
Naunga mkono hoja.

Ila siku wakifanya hivyo Badi ndio utakuwa mwisho wa CCM kuwepo madarakani maana hao ndio wanatumika na CCM kama Toilet paper mishahara midogo mazingira ya kazi ni magumu lakini Bado wanapelekeshwa na wanasiasa kama mifugo wakishastaafu wanaishi Maisha mabovu kupindukia
 
Naunga mkono hoja.

Ila siku wakifanya hivyo Badi ndio utakuwa mwisho wa CCM kuwepo madarakani maana hao ndio wanatumika na CCM kama Toilet paper mishahara midogo mazingira ya kazi ni magumu lakini Bado wanapelekeshwa na wanasiasa kama mifugo wakishastaafu wanaishi Maisha mabovu kupindukia
Jirani na kwangu Kuna polisi mtaafu ana miaka 4 Tangu astaafu lakini ni kama anamiaka 15 nyumbani. Yaani hawezi kutembea, hawezi kushika kikombe cha chai mikono Ina vibrate😭
 
Polisi asilimia 95 wanaajiriwa ambao wanajua kusoma, kuandika na kuhesabu tu sababu ni rahisi kufuata amri bila kuhoji. Asilimia zilizobaki ndio wataajiriwa wasomi wachache tu ambao hao wanakuwa kwenye vitengo kama IT, Sheria, zahanati n.k.

Mbwa haihitajiki kuwa educated ila anatakiwa awe trained vivyo hivyo kwa polisi. Pia polisi wa chini hawatakiwi wawe na maisha mazuri ili wawe na chuki na hasira waweze kuwa manipulated kirahisi na mfumo unaowalipa.
umemaliza hapo kwenye mbwa...
 
Back
Top Bottom