Kinachonitatizaga ni namna SHS 100 inavyoweza kumlinda mtu alievaa nguo na vito vyenye thamani zaidi ya laki mbili, ila linapokuja swala la afya yake anailinda kwa shs 100. kweli!!!! Hawa jamaa wanatuthamini kiasi hiko hadi kitu cha shs 100 kiweze kulinda afya ya muafrika?
Mbona madukani kwao huko zinauzwa bei ghali ivo? tena za viwango vya juu kiasi hiko?? kwani vrs vya huku ni vidhaifu kuliko vilivyoko uko kwao sio?
Amka kapime na chukua hatua. Tanzania inakuhitaji, Familia inakuhitaji zaidi.
Zilipoingia hazikuwa imara zimenipasikia sana tu nikakoswakoswa. afadhali siku hizi zipo nzuri
ATM zake ziliwekwa sinza na zikafa.
Zilipoingia hazikuwa imara zimenipasukia sana tu nikakoswakoswa. afadhali siku hizi zipo nzuri
watu mnamaneno yaani nimecheka sana
Wachumba wenyewe wako wapi? misala tu waume wa siku hizi badala ya kutunza mke wanataka mke ajitunze mwenyewe kwa jasho lake....siyawezi mieTized, bei halisi ya condom ni zaidi ya hiyo bei elekezi. Serikali na wafadhili wanagharamia kwa kiasi kikubwa. Hiyo tzs 100 ni kama kwa ajili ya kuzitrack tu kama zimetumika kiasi gani.
Yaani sista bado unafanya ngono? Olewa bwana.
Zilipoingia hazikuwa imara zimenipasikia sana tu nikakoswakoswa. afadhali siku hizi zipo nzuri
we unadhani virus wanaingia kupitia uume tu?.Tatizo lako ulikuwa haujui formula za kuvaa condom.
romance zinahitajika sana ili kuuamsha uume usimame straight kwa pressure kubwa ndipo condom ivaliwe. (hapo ni kwa condom ya kiume)
kama ni huduma ya voda fasta, lazima zitakupasukia tu kila leo!
Kondomu inazuia mimba tu
Wachumba wenyewe wako wapi? misala tu waume wa siku hizi badala ya kutunza mke wanataka mke ajitunze mwenyewe kwa jasho lake....siyawezi mie
Pastor wetu huwa anasema kondomu ni jezi ya wazinzi...heheh!!!