Unaweza kununuwa hiyo Apple Mac Pro ukaiweka ndani yake Windows 7 Ultiamate kisha ukatumia kwa kufanyia DJ Mixing ndani yake itaweza kufanya kazi.Habari yako kaka. Ipi inafaa kwa kazi za Dj mixing?
Mambo yako Sony Viao
Intel Vs. AMD??
usihangaike sana nunua LENOVO hakuna laptop ngumu km lenovo ukiondoa macintosh
Hizi Brand Nyingine ni za Kinamama Kufanyia online Shopping wakiwa nyumbani, Mashine kama hiyo ukiingurumisha kwa masaa zaidi ya 12 naamini wiki tu Inakuwa chali.Vipi Dell Inspiron?
Tatizo la hizo warranty za huko America huwa hazitumiki huku bongo. Ikiharibika ni mpaka irudishwe huko. Na wewe umeonyesha kwamba gharama za kutuma ni dola 200. Hili unalisemeaje Mkuu Mzizi?
sure hata mimi sina ham nazo, nilinunua nje aina ya compaq lakini ikafa betry kimagirini, kisha ikaja kushindwa kupiga vcd.Sikushauri Hp au Compaq ni delicate sana hiz dude nimekoma kuzitumia hata ukienda kwa mafundi ndo zimejaa
Acer,Dell,Toshiba zinagangamala
Mashine kama hiyo (Dell Inspiron) ukiingurumisha kwa masaa zaidi ya 12 naamini wiki tu Inakuwa chali.
list
1.Apple(mac book pro or macbook Air)
2.Hp g60 au Dv6
3.Asus EE.
zilizobaki ushenzi mtupu!
make sure zina support from Intel or Apple, coz wanaproduce vifaa vya uhakika
Mkuu siyo kweli! Au ufafanue
Mkuu siyo kweli! Au ufafanue
Vipi Dell Inspiron?
Hizi Brand Nyingine ni za Kinamama Kufanyia online Shopping wakiwa nyumbani, Mashine kama hiyo ukiingurumisha kwa masaa zaidi ya 12 naamini wiki tu Inakuwa chali.
Mambo iko Latitude.
Mkuu siyo kweli! Au ufafanue
kaka habari ndio hiyo!
tembela website yao utakuta kuna Branch for Home, Work, and Business na pia kuna za ma-hardwoker wale wazee wa mizigo ya uwakika, kitu kama server lakini ni laptop.
Hiyo Ispir ni ya Home na ndio maana nikakuambia ni ya kina mama yakufanyia shioping online.
Nakuheshimu Kibanga lakini angalia vizuri hapo kwenye nyekundu! Hapo ndiyo nasema siyo kweli. Nilishaitumia hiyo inspiron, hivyo nazungumza from experience! Kama nakumbuka vizuri kuna wakati nilikuwa naingurumisha hadi karibia wiki nzima bila kuizima na bado iko wima!
ila sikuinunua bongo!