Maoni Yako: Laptop gani bora kuliko nyingine?

hv tukija kwenye graphics kati ya INTEL na ATI nani zaidiiii
i think unamaanisha kati ya ATI na Nvidia becoz Intel hawatengenezi vga za maana ni zile zinazokuja kwa processor tu, na upande wangu mie, napendelea ATI Radeon cards ila naona kama wako draw
 
i think unamaanisha kati ya ATI na Nvidia becoz Intel hawatengenezi vga za maana ni zile zinazokuja kwa processor tu, na upande wangu mie, napendelea ATI Radeon cards ila naona kama wako draw

Intel Vs. AMD??
 
i think unamaanisha kati ya ATI na Nvidia becoz Intel hawatengenezi vga za maana ni zile zinazokuja kwa processor tu, na upande wangu mie, napendelea ATI Radeon cards ila naona kama wako draw
asa kwa hardcore gamer na mtu wa ku2mia 3d effect ip inamfaa hapo!
 
Intel Vs. AMD??
kwangu ni intel. hamna mjadala. AMD ina raha zake kwa mfano pin za motherboard zinaingiliana vibaya mno so kuupgrade processor ni mteremko, ni bei che na laptop zote za AMD zina video card za ATI (ila most ni small size vga cards). ukifananisha ubora na nguvu, Intel wana processor za hatari huwezi pima
 
asa kwa hardcore gamer na mtu wa ku2mia 3d effect ip inamfaa hapo!

kama nilivyosema hapo juu, wapo kama draw, teknologia zao zinafanana mi napendelea ATI ila nikipata card ya Nvidia nzuri siachi kutumia
 
Dah naona wakuu mnatunishiana misuli. Mimi mungu akinijalia natafuta Hp 630, itanitosha
 
Mi naitaji laptop kwa ajiri ya matumizi ya chuo, ndio naanz mwaka wa kwanza. Naombeni ushauri laptop gani itanifaa, specification zake nitupieni na bei pia nijipange.
 
Mkuu vena ninakusahihisha hapa kidogo tu kuhusu hiyo Lapop ya .Hp g60 au Dv6 ni ya upuuzi pia lakini hizo mbili yaani 1.Apple(mac book pro or macbook Air) na hiyo 3 Asus EE. ndizo Laptop kiboko kweli zilizo baki ni Upuuzi mtupu na ushenzi mtupu Pumba hazifai hata kidogo.

Vipi Dell Inspiron?
 
Pesa yake hiyo imekwenda na gharama ya usafirishaji toka nilipo kuja huko kwako ndio maana ikawa bei hiyo bei yake hiyo Laptop ni Dola1500 na hiyo dola 200 ni bei ya usafirishaji wa kago si unajuwa itakuja kwa njia ya ndege?na ukiinunuwa ina Warranty yake ya miaka 2 ikiharşbika kabla ya muda wake kuisha unairudisha na wanakutengenezea bure pasipo na malipo mkuu ndetichia kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza.

Tatizo la hizo warranty za huko America huwa hazitumiki huku bongo. Ikiharibika ni mpaka irudishwe huko. Na wewe umeonyesha kwamba gharama za kutuma ni dola 200. Hili unalisemeaje Mkuu Mzizi?
 
Tatizo la hizo warranty za huko America huwa hazitumiki huku bongo. Ikiharibika ni mpaka irudishwe huko. Na wewe umeonyesha kwamba gharama za kutuma ni dola 200. Hili unalisemeaje Mkuu Mzizi?
Mkuu Soki Sipo Amerika nipo kati kati ya Ulaya na kuhusu Warranty ninaponunuwa huwa wanatowa

Warranty ya miaka 2 kwa Laptop mpya ukinunuwa Laptop wanakupa Risiti na hiyo Risiti ndio ina Warranty ya

miaka 2 ukiipoteza hiyo Risiti itabidi ndio Warranty yako imekwisha lakini ukiwa nayo hiyo risiti ndio Warranty na

ndio inapofanya kazi, na ikiharibika Laptop unanirudishia hiyo Laptop na risiti yenye Warranty wanaitengeneza

bure mpaka ikisha Warranty yako muda ndio hawawezi kutengeneza.
 
Last edited by a moderator:
ASUS X53E
Processor:Intel core i5 2.4GHZ
RAM:6GB
HDD:640
Screen:15.6"
OS:WIN7
ni pm kama unahitaji.
 
Attachments

  • asus.jpg
    asus.jpg
    27.9 KB · Views: 87
ASUS X53E
Processor:Intel core i5 2.4GHZ
RAM:6GB
HDD:640
Screen:15.6"
OS:WIN7HP
bei laki 8 tu.
Ni pm kama unahitaji
 
Mkuu classics ukiwa na hii (Apple Macbook Pro) sahau mambo ya Virus au Computer kuji Restart yenyewe matatizo yako kwisha unatumia hata miaka 10 pasipo na kuwa na wasiwasi Mkuu hii kitu ni kiboko ya Laptop zote duniani. Hakuna mchina hapo kila kitu mwenyewe Apple Macbook Pro.

Habari yako kaka. Ipi inafaa kwa kazi za Dj mixing?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom