Maoni ya Hussein Bashe bungeni kuhusu TTCL

Maoni ya Hussein Bashe bungeni kuhusu TTCL

TTCL isijekurudi kuwa Shirika la Umma tena. Kila mtu anafanya anachotaka na hakuna kuwajibishwa. Mara nyingine tuangalie mambo gani yatasaidia tufike tunapotaka kwenda
 
Kwa huu mwendo huyu jamaa na yule wa mtama 2020 ni 50-50
 
Uku ttcl in zero an umeme ukikatika nao haufanyi kazi emergency.... An so nashindwa kuwaelewa
 
Ila naskitika tu, vizuri havidumu katika dunia hii... God's protection be with You Bashe aka Le_Akili_Kubwa
 
Back
Top Bottom