Kama ANA MKE AKUBALI MKE KUTAFUNWA,,,,,,,,kikwazo hapo sio Umri....kikwazo ni ALIOWAACHA NYUMA,,,,watabaki salama? hadi atakaporudi kutoka kwenye INCHI USIYOIJUWA?utarudi baada ya miaka mingap?JE UTAFANIKIWA HUKO UENDAKO? hilo ndy tatizo mkuu,,,Mimi niliacha MKE nikiwa na miaka na umri wa miaka 25 ,,,nilioa nikiwa na umri wa miaka 22,,nilisafiri ASIA miezi 9 tu hadi KURUDI,,,,ilihitaji kuwa na MOYO WA CHUMA kuishi mbali na Mke wangu,,,,,NIKAJIFUNZA ukitaka maisha ya ng' ambo TAFUTA MAISHA KWNZA,,THEN ukitulia TAFUTA FAMILY....ukitafuta Family na maisha kwa pamoja basi elewa MOJA LITAKUSHINDA,,,