Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Kwani mbunge mpaka anafukuzwa bungeni anatakiwa asiwe ameudhuria vikao wangapi?? Kama sikosei ni mitano mfululizo. Inamaana 2017 na 2018 Nassari hakuudhuria vikao vya bunge. Kama hakuudhuria inamaana akutoa taarifa. Halafu yeye baada ya kwenda Marekani kumuuguza mkewe, kwavyovyote alijua vikao vinaanza lini. Alishindwaje kuandika barua kabla. Kwa mawazo yangu hii issue Nasari anaijua maybe ameshalipwa kiinua mgongo wake kabisa wa kumaliza ubunge 2020. Uku akijua kuwa hawezi kurudi 2020. Kwa mwenye akili timamu kama Nasari haiwezekani asiudhurie bungeni mikutano minne mfululizo na huku akijua kabisa kuwa hiki kikao inayoanza nikiudhuria nitakuwa nimefuta makosa yote ya kutoudhuria mikutano minne. Alishindwa kupanda ndege akaudhuria kwenye kikao cha mbunge na kuomba ruhusa na kurudi tena marekani. Sidhani kama Nasari angeshindwa nauli ya ndege. Ilikuwa safari ya siku moja na kurudi, halafu hospital za wenzetu hakuna chochote ambayo nasari angesaidia hata kama asingelikuwepo pale. Sana sana mke wake angemmiss kwa maybe two days na angerudi. Na mkewe angemwelewa kwasababu ilikuwa ni muhimu kutokana na utoro wake wa nyuma. NASSARI KAUZA JIMBO HATA KAMA LITARUDI LKN NDIO UKWELI. KAMA SIO HIVYO BAC SPIKA AMETEGESHEWA NGOMA ILI AONEKANE KWA JAMII ANAVYOWAONEA OPPOSITION
 
Kwa umakini wa safu ya uongozi wa CCM na watendaji wake ni dhahiri Nassari kama angekuwa huko basi angeshavuliwa uanachama mapema na Spika kupewa taarifa.

Pale bungeni kuna uongozi wa wabunge wa CCM ambao unafuatilia mienendo ya wabunge wake so utoro wa Nassari ungeshabainika mapema.

Tatizo la hivi vyama vidogo kila mtu ni kambale!
 
Ameonesha dharau kwamba yeye laki tatu hataki,bungeni hajuti kutofika mwisho anaomba huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wana CCM walioiiba mali za Chama, Mafisadi waliojazana humo, na wahujumu Uchumi. Walevi walioingia Bungeni wakiwa bwaksi, na washirikina waliokamatwa wakiwanga Bungeni.

Haki Sijaona aliyetimuliwa chamani kwa umakini wa hii safu ya kijani.
Waswahili husema Mganga hajigangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu wakati mwingine tuache siasa za kijinga!
Nimemsikiliza Nasari kiukweli inaumiza sana halafu kibaya zaidi alitoa taarifa!
Lakini hebu tujiulize kulikua kuna ubaya gani ndugai angemuita akamsikiliza?

Leo ndio nmegundua kumbe Nasari alikua kwenye changamoto ya ndoa toka 2014 hawajapata mtoto!
Walio kwenye ndoa wanajua stress za hilo jambo ndio maana huyu jombaaa alikua kimya sana ....lisikie tu kwa mtu!
Ndugai hilo analijua hivi kweli ameishiwa ubinadamu kiasi hicho?
 
..Siyo kweli.

..Nassari anadai alihudhuria vikao vya September.

..Vikao vya Januari alitoa taarifa kwa simu ambapo aliongea na msaidizi wa Spika. Pia alindika barua pepe kwa Spika Ndugai akimtaarifu kuwa anauguza nje ya nchi.

..Sasa kwanini Spika amfukuze kwa utoro [ kikao cha november] wakati sheria inaelekeza adhabu ni kwa waliokosa vikao vitatu?
 
Unapenda sifa za kuanzisha nyuzi za kinyume eh !!!. Huko ccm ndiyo kuna wabunge hawana habari na vikao . Angalia vizuri hao wabunge/wafanyabiashara walioko ndani ya CCM mahudhurio yao.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm hii? In hell. Yes maybe hakuna wabunge wamekuwa absent bila taarifa. Lakin kuna wabunge wamewahi fanya madudu na spika kawakaushia. Madudu hayo hayo wakifanya wapinzani wanakesi mahakamani.
Sishabikii uvunjwaji wa sheria..ila ccm mnabebana. Wengi wape.. hata rais analijua hili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Nasary umeonyesha udhaifu wa kiwango cha juu Tukuombe tu mheshimiwa sipika kwa hili umhurumie tu kijana wako
 
Mkuu hapa tunazungumzia utoro!
 
Kama ni kweli mahakama itamrudishia ubunge wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…