Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,828
Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika.
Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili madai hewa kwa maslahi yao?
atakua tayari tena kuitisha press conference kuwatetea ?
ni muhimu sana askofu akaacha unafiki na kujifunza zaidi kuhusu demokrasia.
Mungu Ibariki Tanzania
Pia soma > DSM - GE2025 - Askofu Gwajima: Kutawala Nchi wakati imemeguka kwa makovu ya Uchaguzi ni kazi ngumu sana, tuwape Reforms CHADEMA