Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

Mimi sijaajiliwa na mtu yoyote yule Sasa atanifukuza kwenye kazi yangu niliyojiajiri?? Halafu mm huwa simwogopi binadamu yoyote yule aliyezaliwa na mwanamke. Kama hao walimu walitakiwa kufukuzwa kazi Kwa makosa yaliyojificha ila kawalinda basi amekosea maana hata huko walipokwenda hawajawa walinzi Bali ni walimu

N. B. mwenye mamlaka ya kumfukuza mwalimu ni TSC tu na RAIS
Tunaweza kukusaidia tatizo lako endapo utakuwa muwazi kuwa...kwanini wameamishwa...?
 
Nadhani wewe mkurugenzi uliyefanya haya unanijua mimi nani na unajua hili swala la kuwahamisha walimu zaidi ya kumi bila malipo yoyote Yale ya pesa ya uhamisho yaani transfer allowance

Sasa nakuomba wiki mbili zisipite uwe umewapa hawa walimu haki yao vinginevyo nitataja uwozo wote uliopo kwenye hiyo halmashauri yako. Naona umewashika masikio madiwani hawaongei lolote kuhusu hili swala kwenye vikao vyenu vya halmashauri

Umemtuma afisa elimu Kata awaambie hawa walimu hawatalipwa Kwa madai uhamisho ndani ya Kata huwa hakuna malipo swala ambalo sio kweli maana kwenye public standing order haijaelekeza hivyo, malipo ya uhamisho yatatolewa endapo mtumishi wa umma atahamishwa kituo haijalishi ndani ya Shina, kijiji, Kata au tarafa kwahiyo huo uhuni sitaukubali
Mpwayunguuuuzi
 
Nadhani wewe mkurugenzi uliyefanya haya unanijua mimi nani na unajua hili swala la kuwahamisha walimu zaidi ya kumi bila malipo yoyote Yale ya pesa ya uhamisho yaani transfer allowance.

Sasa nakuomba wiki mbili zisipite uwe umewapa hawa walimu haki yao vinginevyo nitataja uwozo wote uliopo kwenye hiyo halmashauri yako. Naona umewashika masikio madiwani hawaongei lolote kuhusu hili swala kwenye vikao vyenu vya halmashauri.

Umemtuma afisa elimu Kata awaambie hawa walimu hawatalipwa Kwa madai uhamisho ndani ya Kata huwa hakuna malipo swala ambalo sio kweli maana kwenye public standing order haijaelekeza hivyo, malipo ya uhamisho yatatolewa endapo mtumishi wa umma atahamishwa kituo haijalishi ndani ya Shina, kijiji, Kata au tarafa kwahiyo huo uhuni sitaukubali.
Naunga mkono hoja,watu wa Afya na Elimu wanahangaishwa sana na Serikalini.

Huwa wanalipwa ila kwa.kuchelewa sana yaani unaweza Kaa miaka 3 ndio uje upate hela Yako.
 
Tatizo la walimu wa shule ya msingi ni waoga sana.

Siku zote usipende kubishana na viongozi kwa mdomo sijui unaenda halmashauri kufuatilia malipo kwa mdomo utaishia kuonekana mtovu wa nidhamu.

Waambie hao walimu wa shule ya msingi kwamba, waandike barua ya kuomba pesa ya uhamisho ikiwa na nukuu za vifungu wa standing order halafu wapeleke wasubiri majibu. Kama hawawezi kusoma standing order kwa Kiingereza, waambie waende nayo kwa mwanasheria wamlipe atawasaidia kuandika hizi barua. Wakifika huko halmashauri wala wasiongee maneno mengi zaidi ya kusema tumeleta barua. Baada ya kama wiki moja, wafuatilie majibu ya hizo barua na siyo waende kufuatilia kulipwa kwa mdomo. Wakijibiwa hizo barua waende nazo kwa mwanasheria akawatafsirie kama hawawezi kuzitafsiri.

Lazima Watanzania tujifunze kufuatilia haki zetu kwa maandishi kwa sababu hizi ofisi zaa serikali zinaendeshwa kwa kanuni na taratibu na maafisa utumishi wanalijua hilo, hivyo ukienda kwa mdomo watakuwa wanakupiga danadana na maneno ya uwongo.

Maandishi ni kumbukumbu nzuri sana mana haki yako haitapotea, ipo siku utaipata tu hata kama baada ya miaka kadhaa kwa sababu hizi ofisi viongozi wanabadilika badilika, akija mwingine unakumbushia dai lako kwa barua.

Kuandika barua ndio pini tosha kwa huyo mkurugenzi. Unafikiri atawajibu kwa maandishi kwamba hawalipi kama ambavyo anajibu kwa mdomo?
 
Nadhani wewe mkurugenzi uliyefanya haya unanijua mimi nani na unajua hili swala la kuwahamisha walimu zaidi ya kumi bila malipo yoyote Yale ya pesa ya uhamisho yaani transfer allowance.

Sasa nakuomba wiki mbili zisipite uwe umewapa hawa walimu haki yao vinginevyo nitataja uwozo wote uliopo kwenye hiyo halmashauri yako. Naona umewashika masikio madiwani hawaongei lolote kuhusu hili swala kwenye vikao vyenu vya halmashauri.

Umemtuma afisa elimu Kata awaambie hawa walimu hawatalipwa Kwa madai uhamisho ndani ya Kata huwa hakuna malipo swala ambalo sio kweli maana kwenye public standing order haijaelekeza hivyo, malipo ya uhamisho yatatolewa endapo mtumishi wa umma atahamishwa kituo haijalishi ndani ya Shina, kijiji, Kata au tarafa kwahiyo huo uhuni sitaukubali.
Achana na hawa chawa wa CCM.
 
Muungwana upigania uonevu na maslai ya watu wengine pia, Ila ukimuanika live huyo mkurugenzi jilizishe kwanza vizuri, isije kuwa Kama yule mtoto wa same, aliyedanganya kafaulu nafasi yake kapewa mtu mwingine.
 
Tatizo la walimu wa shule ya msingi ni waoga sana.

Siku zote usipende kubishana na viongozi kwa mdomo sijui unaenda halmashauri kufuatilia malipo kwa mdomo utaishia kuonekana mtovu wa nidhamu.

Waambie hao walimu wa shule ya msingi kwamba, waandike barua ya kuomba pesa ya uhamisho ikiwa na nukuu za vifungu wa standing order halafu wapeleke wasubiri majibu. Kama hawawezi kusoma standing order kwa Kiingereza, waambie waende nayo kwa mwanasheria wamlipe atawasaidia kuandika hizi barua. Wakifika huko halmashauri wala wasiongee maneno mengi zaidi ya kusema tumeleta barua. Baada ya kama wiki moja, wafuatilie majibu ya hizo barua na siyo waende kufuatilia kulipwa kwa mdomo. Wakijibiwa hizo barua waende nazo kwa mwanasheria akawatafsirie kama hawawezi kuzitafsiri.

Lazima Watanzania tujifunze kufuatilia haki zetu kwa maandishi kwa sababu hizi ofisi zaa serikali zinaendeshwa kwa kanuni na taratibu na maafisa utumishi wanalijua hilo, hivyo ukienda kwa mdomo watakuwa wanakupiga danadana na maneno ya uwongo.

Maandishi ni kumbukumbu nzuri sana mana haki yako haitapotea, ipo siku utaipata tu hata kama baada ya miaka kadhaa kwa sababu hizi ofisi viongozi wanabadilika badilika, akija mwingine unakumbushia dai lako kwa barua.

Kuandika barua ndio pini tosha kwa huyo mkurugenzi. Unafikiri atawajibu kwa maandishi kwamba hawalipi kama ambavyo anajibu kwa mdomo?
Mkuu samahani naomba kufahamu hivi ni standing order ya mwaka gani ambayo inatumika Kwa sasa.
 
Hii kazi ni ya kipweke sana, unakuwa mnyonge popote ulipo maana huna nguvu ya pesa kwahiyo huwezi kufanya chochote kwenye watu wengi. Hii kazi inahitaji moyo wa chuma

Haina allowance yoyote ileeee, hata kuhama tu ni bure ukibahatika kupewa pesa basi ni laki tano au million moja. Walimu wanaishi ili wasife tu ila hawana future yoyote ileeee

Poleni sana walimu
 
Hii kazi niyakipweke sana, unakuwa mnyonge popote ulipo maana huna nguvu ya pesa kwahiyo huwez kufanya chochote kwenye watu wengi. Hii kazi inahitaji moyo wa chuma

Haina allowance yoyote ileeee, hata kuhama tu ni bure ukibahatika kupewa pesa basi ni laki tano au million moja. Walimu wanaishi ili wasife tu ila hawana future yoyote ileeee

Poleni sana walimu
Mpwayungu Mimi natamani ualimu jaman sijaajiriwa na degree yangu hii tangu 2015 hao waalimu wa cheti tuu hapa nyumbani wananidharau na ni ndugu zangu usiombe najuta hata kusoma
 
Back
Top Bottom