Ujinga ni hali ya mtu kutofahamu jambo fulani. Hata wewe au mimi tunaweza kuwa na kaujinga kwenye maeneo fulani.why uite watu ni wajinga kisa tu hawajui kusoma na kuandika. wewe unajua kila kitu
hata Wasira alishasema mshahara hautajirishi mtu, hivyo tunapochahua kuajiriwa ,automatically tumechagua umasikini
Mwanao unamfundisha mwenyewe sio..acha kiburi heshimu taalama za wenzio. Uwalimu ni wito.This job is hell on earth!!. Hawa watu wametapakaa mitaani kama jobless kumbe watumish.
Fursa ya sensa wapo, fursa ya kuandikisha daftar la kudumu wapo, fursa za kuhesabisha na kusimamia kura wapoo, anuani za makazi waoo tu,.
Unashindwa kuelewa whats wrong nahawajawahi kuelimika wala kupiga hatua. Walimu jaribun kuepuka hizi fezeha
Tunawaheshim Ila nyie mnajidisvalue, just imagine ticha unaenda kukopa pesa kwa mwanafunz πππ
Biashara zao ni vitumbua na ubuyu shuleni over. Sasa utatajirika vipi
Take care otherwise mtakuwa poverty ambassador whole life
Wewe unasumbulia na Imani potofu, Yesu akupaa baada ya kuona mambo magumu duniani kwanini akuenda kutafuta kazi na kuanzisha familia naomba uwe pragamatic sio kua religious fanaticYESU KAZI YAKE ILIKUWA NI USEREMALA
PILI YESU NI SHUJAA HAJAWAI KIMBIA LOLOTE
YESU KAZI YAKE ILIKUWA NI USEREMALA
PILI YESU NI SHUJAA HAJAWAI KIMBIA LOLOTE
KWANI HESHIMA NA DHARAU KIPI CHEMA?? SIO KAMALI TU HATA MUUZA GONGO, KAHABA WEWE HESHIMU TU MAANA WA KUHUKUMU NI YESU TUNgoja kidogo, kamari ni biashara halali je Yesu anatufundisha nayo kuiheshimuu?.
Hapa tunaongelea KAZI na sio WAFANYA HIZO KAZI elewa tofauti kiongozi.KWANI HESHIMA NA DHARAU KIPI CHEMA?? SIO KAMALI TU HATA MUUZA GONGO, KAHABA WEWE HESHIMU TU MAANA WA KUHUKUMU NI YESU TU
MAANA HESHIMA NI JAMBO JEMA HUWEZA HATA KUMBADILISHA HUYO MCHEZA KAMARI, ILA HUZARAU HUCHOCHEA UOVU
Huyo ni Fala Tu Hana pesa wala biashara yeyote...huyu ni mjinga tu na hakuna anachojua kwenye ulimwengu wa biasAcha dharau na ushamba wewe! Asilimia KUBWA ya familia za Kitanzania ndugu zetu Ni walimu ndo wametusomesha na kutunza wazazi, Tatizo mkipata vipesa kidogo mnajiona mnamiliki Dunia kumbe hamna kitu,mnakuja kuishia kwenye fedhea na aibu kwa jamii, huku ndugu zenu huko vijijini wanavaa vilaka,malapulapu na kushinda wanafanya vibarua nyumba za walimu,,,ππ
SAWA bossHapa tunaongelea KAZI na sio WAFANYA HIZO KAZI elewa tofauti kiongozi.
Barikiwa.
SAWA HIVI UNAJUA MAANA YA "KUKIMBIA" KAMA ULIVYOSEMA HAPO NYUMA HALAFU SASA HIVI UNASEMA ALIPAAWewe unasumbulia na Imani potofu, Yesu akupaa baada ya kuona mambo magumu duniani kwanini akuenda kutafuta kazi na kuanzisha familia naomba uwe pragamatic sio kua religious fanatic
Ifike sehemu Mpwayungu Village na walimu mkae chini mmalize tofauti zenu.This job is hell on earth!!. Hawa watu wametapakaa mitaani kama jobless kumbe watumish.
Fursa ya sensa wapo, fursa ya kuandikisha daftar la kudumu wapo, fursa za kuhesabisha na kusimamia kura wapoo, anuani za makazi waoo tu,.
Unashindwa kuelewa whats wrong nahawajawahi kuelimika wala kupiga hatua. Walimu jaribun kuepuka hizi fezeha
Tunawaheshim Ila nyie mnajidisvalue, just imagine ticha unaenda kukopa pesa kwa mwanafunz πππ
Biashara zao ni vitumbua na ubuyu shuleni over. Sasa utatajirika vipi
Take care otherwise mtakuwa poverty ambassador whole life
π€£π€£π€£π€£π€£Tutaaminije ni walimu na hakuna alievaa shati la kitenge?
HawajielewaIfike sehemu Mpwayungu Village na walimu mkae chini mmalize tofauti zenu.
Bora ukawe boda boda tuIla kuna wenzako wanatamani kazi hizo mkuu..
Kutokana na ugumu wa maisha
Boda boda jau sana amkuu acha tuuBora ukawe boda boda tu