Maoni: Dr. Slaa ahutubie taifa mwisho wa mwaka

Maoni: Dr. Slaa ahutubie taifa mwisho wa mwaka

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,233
Reaction score
138,749
Haya ni maoni yangu usijenge chuki.

Pamoja na mambo lukuki yalitokea 2014 yakionyesha taifa kukosa mwelekeo nashauri Dr. Slaa ahutubie taifa mwishoni mwa mwaka ku-adress mambo muhimu.

Hatujui hatima ya katiba mpya, kuna suala la Escrow tunahitaji msimamo,kingine ni kuhusu Uchaguzi, nadhani tumeona dalili za umwagaji damu katika uchaguzi wa serikali za mitaa
 
naunga mkono hoja tanzania hatuna raisi bali tuna mtetea wezi
 
kama jk anawatetea wezi sasa unategemea nan atatutetea sisi watanzania ndo maana tunataka dr slaa ahutubie taifa atuaddress wapi tulipotoka na wap tunapoenda
 
Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.
 
Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.

SLAA hafananii hata kidogo kuwa rais, akihutubia ataonekana kama analaumu tu watu fulani au chama fulani
 
kama jk anawatetea wezi sasa unategemea nan atatutetea sisi watanzania ndo maana tunataka dr slaa ahutubie taifa atuaddress wapi tulipotoka na wap tunapoenda

mmetoka Karatu na Hai mmeishia mtaa wa ufipa kinondoni
 
Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.

Maccm bana,eti kuna type za wajinga.

Wewe ndio mwandishi tegemezi wa Nape, u nabandika upuuzi huu?
 
Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.
Rais Kikwete 2010 alikuwa anakimbia midahalo kwa kuhofia kukutana na Dr slaa sasa kwanini Dr slaa ashindwe kuhutubia taifa?
 
Maccm bana,eti kuna type za wajinga.

Wewe ndio mwandishi tegemezi wa Nape, u nabandika upuuzi huu?
wewe ni mwandishi wa nani ndugu? ndo wale mnaomwambia Slaa aseme akiwa rais ataruhusu gongo
 
SLAA hafananii hata kidogo kuwa rais, akihutubia ataonekana kama analaumu tu watu fulani au chama fulani

una mawazo mgando kama akili yako uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo
 
Back
Top Bottom