Maongezi Yangu Na Jay Dee (JD) Facebook. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maongezi Yangu Na Jay Dee (JD) Facebook.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Gbollin, Mar 22, 2011.

 1. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nilipata Bahati Ya Kuchat Na Msanii Wa Bongo Fleva Jay Dee Kupitia Facebook Na Nilitaka Kujua Yeye Kama Mmoja ya Wasanii Wenye Mafanikio Sana Hapa Nchini Nini Maoni, Mtazamo na Kama anaijua JamiiForum Vizuri.
  Maongezi Yetu Yalikuwa Hivi.


  MIMI: Wats up JD?

  JD : Poa, Mzima wewe?

  MIMI: Me Mzima, Kwanza Pole kwa usumbufu ila nilitaka kujua kama unaijua JamiiForum?

  JD : Ndio Naijua.

  MIMI: Unaizungumziaje Jamii Forum?

  JD : Ni site ya majungu sana, inapenda kufuatilia maisha ya watu binafsi, kwakweli mimi siipendi hiyo site na sitaki hata kuisikia, afu eti wanajiita Great thinkers? Kwa lipi? Je wewe ni Member?

  MIMI: Ndio mimi ni member wa Jamii Forum na ndio site ya kipekee hapa TZ ambayo unaweza kukutana na kubadilishana mawazo na makundi mbalimbali ya watu, Je una mpango wa kujiunga Jamiiforum?

  JD : Hapana, sifikirii na hata sidhani kama itakuja tokea.

  MIMI: Nakushauri jiunge leo na utafurahia kuwa part ya Great thinkers.

  JD : Lets cut out haya maongezi, sipendi kuongelea Jamii Forum na wala kuisikia.

  Akalogout na ukawa mwisho wa maongezi yetu.

  SWALI: Kwanini Wasanii Hawaipendi JamiiForum?

  Wadau Naomba Maoni Yenu.
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Lady JD au wasanii?

  Labda swali lingekuwa hivi: "Kwa nini Lady JD haipendi JF?"
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  jibu kakupa hapo juu....
   
 4. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Me Nadhani JD anawakilisha kundi kubwa la wasanii ambao hawaipendi JF ndo maana JD kama Dada yao Nimeuliza kwanini wasanii hawaipendi JF. Hope umenisoma Mkuu.
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280

  msimsumbue Lady JD muacheni atulie. Maana katika watu wanaopaswa kuwa mfano kwa vijana wa TZ naye ni mmojawapo, ni mbunifu, mchapakazi, and she's so focused than any artists in TZ. By the way, hata materially amefanya mambo makubwa sana lakini anajua JF itauliza ni kwa nini ndoa haijibu!?
   
 6. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Huyo hapo Juu hajanijibu bali ameuliza swali tena baada ya kujibu swali. Nway nimekugongea thanks
   
 7. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu, Unaposema Tusimsumbue unamaanisha nini? Yeye kama msanii lazima aulizwe maswali na sio kwamba anasumbuliwa, Nimeuliza swali nini kinachowafanya wasanii waichukie au waiogope JF? Je ni kwakuwa most ov them ni Vilaza au wanaogopa nini?

  HESHIMA MKUU.
   
 8. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kama ni tafiti umefeli - u need 2 get urself back to xul. Wasanii wapo wangapi, hadi JD mmoja tu awakilishe kundi kubwa la WASANII ambalo according to you hawaipendi JF. I think ur arguments are unfounded and baseless.
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  hapo kwenye red..............nilisikia uvumi kuwa imejibu ama ni uvumi tu............lkn hii isiwe sbb ya kumkimbiza JF mbona wapo wan JF wengi tu ndoa zao hazijajibu!
   
 10. s

  shosti JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  sikumaanisha mtoa hoja wa juu,nimemaanisha JD amekueleza wazi sababu zake,ingependeza ungeondoa thanks yako mkuu...
   
 11. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Are they great thinkers?
   
 12. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  I know one reason why JD and others hate JF,discussing them in threads like this is one of em'
   
 13. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  umetoa jibu sahihi...nadhani hiyo ndo hofu yake. nimekugongea senksi kwa mtazamo wako chanya
   
 14. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Alichezea sana ujana wake huyo..... istoshe mimi kila mwaka nasikia birthday yake anasheherekea mwaka wa 31 sasa sijui ana umri gani.

  Haipendi/Hawaipendi kwa sababu hawawezi kujenga hoja... ukiwauliza mafanikio wanakuambia NINA GARI na NINAJULIKANA SANA NA WATU.
   
 15. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwamba matokeo ya kuchezea ujana ndio haya ya ndoa kuchelewa kujibu, ama? Btw, cdhan kama Jide nae ni wa kaliba ya kupima mafanikio kwa kumiliki gari na umaarufu, nadhani yupo mbele zaidi ya hapo ulipo mweka
   
 16. Bepari

  Bepari JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 814
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Ambavyo kwa maoni yako hakuna namna vinaweza kuwa mafanikio siyo?
   
 17. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kama UNAJULIKANA na watu mil 20... na manunuzi ya kazi yako ni records 3,000 HUPASWI KUJIVUNIA sehemu ya mafanikio yako ni KUJULIKANA NA WATU katika nyanja kama hiyo. Maana kiukweli kujulikana kwako SANA NA WATU inathibitishwa na manunuzi ya kazi yako na siyo SALAMU UNAPOPITA BARABARANI na KUNUNULIWa POMBE. Kwa kuwa hao hao ukifeli ndio watakuambia ( wakiwa Bar) njoo utuimbie tutakununulia chakula/soda... ( Muulize msafiri diof, na jamaa aliyeimba ACHA TAMAA wa FM academia... nimeyaona machoni kwangu )

  Kuna Fridge ( siyo freezer) inauzwa mil 6 pale JMall ( na ni ya lt 200) , kwa kuona magari ( hasa waliyonayo wassanii wetu ) WENGI wao ( siyo wote) magari waliyonayo siyo yale yaliyo madhubuti... kwanza kwa kijana wa kimjini GARI siyo jambo la kufikiria kama ni sehemu ya peak ya mafanikio... kwa kuwa kwa sasa ni HITAJI LA LAZIMA.

  Nimekutolea mfano wa fridge ya 6ml nikiwa na maana kama kila mtu atajisifia kuhusu mali ya 3-10 ml ( ambayo siyo fixed) then kuna tatizo.

  Kuna mwana FA... yeye alisema mafanikio yake ni muziki KUMPA NAFASI na GHARAMA ZA MASOMO aliyomaliza IFm kipindi hicho... then kwa huyu ninamkubali kwa kuwa KAFANIKISHA MTAJI USIOKUFA kwa kupitia sanaa aliyo nayo.

  Nawasilisha.
   
 18. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
 19. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  haahahjajaj@viper
   
Loading...