Maonesho ya Sabasaba Mwaka huu: Viroja vs Ubunifu...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maonesho ya Sabasaba Mwaka huu: Viroja vs Ubunifu......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mlitika, Jul 7, 2012.

 1. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inatia moyo jinsi watanzania wavyojituma kutangaza mambo yanayofanyika humu nchini. Nimefurahishwa na kasi kubwa ya maendeleo katika kubuni vitendea kazi kwa kutumia SIDO. Nimeona hadi combine harvester ya mpunga tuliyoibuni na inafanya kazi ingawa ukiingia kwenye mabanda ya wenzetu wachina, wasiria na wahindi unawezakata tamaa maana tofauti ni kubwa mno. Nakiri kuwa kuna mabanda niliona kinyaa kuingia kwa sababu za kibinafsi:
  • Banda la bunge - niliogopa pengine Bi Kiroboto, Mwigulu na Lusinde wangekuwamo. Kingenishinda kishawishi cha kuanza nao ligi, japo niwatemee mate tu.
  • Banda la Wizara ya mambo ya ndani - nina aleji na polisi wa serikali ya awamu ya nne.
  • Banda la Benki kuu - hapa sisemi...................

  Hayo yote tisa; kumi ni ubunifu nliouona wa kitanzania HALISI katika maonyesho haya kwenye tasnia ya sanaa:
  • Banda la Mjomba Mpoto angalau alikuwa anauza vi-T-shirt vyenye jina lake
  • Banda la Filamu za Kanumba nilishindwa kujua kinachoendelea maana nyomi ilikuwa siyo ya kawaida
  • Vibaka walikuwa na mbinu mpya
  • Mzee mzima King Majuto ndo aliniacha hoi kuliko wote alivyokuwa anazikusanya mia tano zao waliokuwa wanataka kupiga naye picha.

  Labda mliona ubunifu zaidi wenzangu.
   
 2. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Kwenye banda la milipuko A.K.A viroba ilikuwepo njemba imetinga suti nyeusi afu imejimask imeshikilia mchupa wa kkroba nyingine imetia mfukoni. Jamaa alikuwa anaganda bila kutingishika kama sanamu kwa hata dakika ishirini. So funny!
   
 3. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hahahahaaaa! Nilimwona huyo jamaa. Sijui huwa wanalipwa ngapi! Kuvaa vile kwenye joto lile afu unasimama mgando kutwa kwa siku saba au zaidi! Shughuli kweli kweli
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  vipi banda la jf mmelionaje? bomba sio?
   
 5. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  si tunaonaga kwenye luninga tunajua pazuri kumbe..............
   
 6. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu dont tell me kulikuwa na banda la JF! Nimelimic-je?
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,501
  Likes Received: 19,915
  Trophy Points: 280
  huyu alikuwepo?
  [​IMG]
   
 8. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Oh my! Fanya uhudhurie hata siku moja coz kuna mambo na vijimambo kibao.
   
 9. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Huyu nadhani bado yuko busy na "round" za ma-miss. Atakapomaliza hiyo round au big-G yake itapochuja midomoni mwa wa TZ (si unajua tena Bongo Flava?) atalazimika kuchukua style alibuni King Majuto. Maana kasi yake na kaumri vinadaiana.
   
 10. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Duh! Heheheheeee! Ama kweli wabongo hawana huruma! Heheheheheee!
   
 11. luhala

  luhala JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 412
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwe hii si photoshop kweli au ndiyo alivyo? Kama ndiyo picha yake bila kuchakachuliwa iko kazi!
   
 12. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Well, you might be wrong mkuu Nyetk coz kilichosisitizwa kwa njia ya hiyo picha aloleta Saint Ivuga ni kwamba mtaji wa jamaa upo zaidi kwenye hicho kiungo. Hope next time atakuja na picha ya kiungo kinachokula mtaji wake zaidi, hahahahaaa!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Well Hn. luhala to be frank sijawahi kumcheki dogo so closely but naamini hi ni photoshop product ila ina ujumbe, si bure. Mtaji wa mwimbaji ni mdomo bana! Kwamba jamaa ana kipaji kikubwa cha kuimba lazima sanaa itumuke kusisitiza; no?
   
 14. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Ok! Ok! Ok! I see! Mwambie basi Saint Ivuga atuletee picha ya namna hii ya Wema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Na wengine kama .....
   
 16. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Stop! Stop! plz you knut! Wana bodi naomba niwarudishe kwenye MADA: Tunajadiri kuhusu "Maonesho ya Sabasaba Mwaka huu: Viroja vs Ubunifu"!
   
Loading...