Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

Mambo yako ya zamani hayo Mshana "Trade Mark" binafsi nimetoka kukupenda sana mshana jr kwa unavyotuelemisha humu JF hususani kwenye issue za kiroho. Wewe ndio umenifanya nijiunge tena na ID nyingine baada ya kukaa mbali na JF zaidi ya miaka 9. Big up bro nilisikitika sana ulipokosa tuzo wala recognition na akapewa tuzo yule mdini na Mzanzibari.

Natamani na matamanio yangu siku moja utie neno kuhusu shuhuda za kuzimu au wewe unajua nini kuhusu kuzimu?
 
Asante sana ndetefyose .. Ushindi wa walioshinda kwa vigezo husika ulichangiwa na sisi sote washiriki ndani na nje ya JF .. Hivyo ni furaha pia kwa walioshinda na JF pia..
Kwenye mashindano lazima wawepo washindi na washindwa.. Lakini haimaanishi washindwa hawajui.. La hasha..But usijali there is always next time [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Unajua nini kuhusu kuzimu mkuu? Kuna video ya Lil Nas "Montero call me by your name" anaonesha kama anashuka kuzimu. Pia, sasa kuna shuhuda nyingi za wazi wanaosema walishawahi duka na kutumikia kuzimu. Naomba maoni yako mkuu. Napenda sana kufunza kuhusu hilo.
 
Yaani umaskin wangu wote huu nawaona kama nyie ndio chanzo
 
JamiiForums1954132629.jpg
 
Back
Top Bottom