Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

Panafaa mno kuweka kilinge hapa
FB_IMG_1652469026778.jpg
 
 
 
Waafrika kuna mahali tumepigwa chenga ya mwili kisha tukaachwa solemba. Mabeberu (kwa jina pendwa la chama kikuu) walitukuta na sayansi yetu ya asili ikiwa imepiga hatua kubwa kwenye utafiti, matokeo na utendaji pia, wakaona tukiendelea nayo tutakuja kufanya makubwa na kuwaacha mbali na pengine hata kuwatawala.

Wakaona hatari na kitisho kinachowakabili. Wakaja na mbinu ya kukandia vya kwetu na kusifu vya kwao, wakafanikiwa kwenye hili. Kishapo badala ya kutufunza vya kwao vizuri wakatunyima maarifa haya.

Nasikitika kusema kwamba mwaka jana tulipanga kuwa na kongamano kubwa la wachawi na washirikina lakini lilishindikana kufanyika kutokana na serikali kutoitambua hii kaliba. Lakini cha ajabu kuna mkoa mwaka huu kuna waganga wachawi zaidi ya mia walikusanyika na kutoa ultimatum kwenye jambo la kisiasa. Imagine huo ni mkoa mmoja tu. Kuna walozi zaidi ya mia.

Kuna huyu ndugu yetu 4G LTE ameanza kutuletea simulizi za visa vya kushangaza visivyo na majibu huko Ulaya. Nina hakika visa kama hivyo vilivyokosa majibu ya kisayansi huko kwao hapa Africa vingepatiwa ufumbuzi kupitia kaliba ya ushirikina uchawi na ulozi.

Sasa hivi tumebaki tupotupo tu. Ushirikina tunaambiwa ni mbaya na hauna faida. Sayansi tunayohubiriwa kuwa ndio mkombozi tunabaniwa maarifa yake. Hebu katembelee tume ya sayansi ya Tanzania utaniambia.

Sasa ili kuweza kuwa na way forward ni vema sasa tukaandaa msimu wa kazi za kishirikina, kichawi na ulozi ili kuvunja ile miiko na dhana dhanifu kuwa hii tasnia haina mema wala faida. Maonesho husika yatasaidia kuleta mwamko mpya wa elimu ya giza, utafiti na hata matokeo yenye faida kwa jamii.

Maonesho husika yatasaidia kuondoa woga kwa baadhi ya mafundi na kufanya waoneshe kwa uwazi zana za maangamizi walizo nazo. Licha ya kuwa ni maonesho yatayakostua na kushangaza wengi lakini yatalifanya taifa lijulikane zaidi huku yakivutia utalii na kutoa msukumo wa wageni wengi zaidi kutaka kufahamu zaidi.

Najaribu kuandaa andiko mradi kisha nilipeleke wizara husika, pengine kipindi hiki tutasikilizwa.



Mkuu Mshana habari za siku nyingi,

Kuna tukio huko Arumeru, mawe yanarushwa usiku na mchana kwenye nyumba fulani za mtaa mmoja huko na wamekuwa wakihangaika kumtafuta anayerusha ili wamtie adabu au apelekwe polisi lakini imeshindikana, check on YouTube.

Nadhani msaada wako unahitajika huko ili ujenge Legacy yako si ndani ya jamiiforums tu bali hata nje.
 
Mkuu Mshana habari za siku nyingi,

Kuna tukio huko Arumeru, mawe yanarushwa usiku na mchana kwenye nyumba fulani za mtaa mmoja huko na wamekuwa wakihangaika kumtafuta anayerusha ili wamtie adabu au apelekwe polisi lakini imeshindikana, check on YouTube.

Nadhani msaada wako unahitajika huko ili ujenge Legacy yako si ndani ya jamiiforums tu bali hata nje.
Salama kabisa mkuu. . yale ya Meru ni ishu za mizimu pale sithubutu kutia mguu kaka
 
[emoji44][emoji44] Nanasi labambwa baharini ndani likiwa na picha ya mwanaume na mwanamke

Aliyeliona lilikuwa linasukumwa na maji kuja ufukweni likiwa limefungwafungwa na kamba na walipolifungua wakakuta ndani zipo picha za mwanaume na mwanamke ambao hawajaweza kufahamika mara moja
FB_IMG_1655051021237.jpg
 
 
 
Inatisha
 
 
THOTH, Mwatlantia, bwana wa siri, mtunza kumbukumbu, mfalme mwenye nguvu, mchawi, kuishi kutoka kizazi hadi kizazi, karibu kupita kwenye kumbi za Amenti, iliyowekwa kwa mwongozo wa wale watakaokuja nyuma, rekodi hizi za hekima kuu ya Atlantis Mkuu.

Katika mji mkuu wa KEOR kwenye kisiwa cha UNDAL, katika muda mrefu uliopita, nilianza kupata mwili huu. Si kama watu wadogo wa wakati huu walivyofanya mashujaa wa Atlantis wanaishi na kufa, lakini badala yake kutoka aeon hadi aeon walifanya upya maisha yao katika Ukumbi wa Amenti ambapo mto wa uzima inatiririka milele.


Mara mia mara kumi nimeshuka katika njia ya giza iliyoongoza kwenye nuru, na mara nyingi nimepanda kutoka giza ndani ya nuru nguvu zangu na nguvu zangu zikafanywa upya. Sasa kwa muda ninashuka, na watu wa KHEM (Khem ni alchemy katika Misri ya kale) hatanijua tena. Lakini katika wakati ambao haujazaliwa nitafufuka tena, hodari na hodari, inayohitaji uhasibu ya walioachwa nyuma yangu.

Basi jihadharini enyi watu wa KHEM. ikiwa mmeyasaliti mafundisho yangu, kwa maana nitawashusha ninyi kutoka katika cheo chenu cha juu katika giza la mapango mlikotoka. Usisaliti siri zangu kwa watu wa Kaskazini au watu wa Kusini laana yangu isije ikawa juu yenu.

Kumbukeni na kuyashika maneno yangu, kwa hakika nitarudi tena na kutaka kwenu mnachokicha. Ndio, hata kutoka zaidi ya wakati na kutoka ng'ambo ya mauti nitarudi, thawabu au kuadhibu kama mlivyo fanya amana yenu. Watu wangu walikuwa wengi siku za kale, kubwa zaidi ya dhana ya watu wadogo sasa karibu nami; kujua hekima ya zamani, kutafuta mbali ndani ya moyo wa infinity maarifa ambayo yalikuwa ya vijana wa Dunia.

Tulikuwa na hekima kwa hekima ya Wana wa Nuru waliokaa kati yetu. Tulikuwa na nguvu na nguvu inayotolewa kutoka kwa moto wa milele. Na katika hao wote, aliye mkuu kuliko wote watoto wa watu alikuwa baba yangu, THOME, mlinzi wa hekalu kuu, kiungo kati ya Watoto wa Nuru waliokaa ndani ya hekalu na jamii za watu waliokaa katika visiwa kumi. Kinywa, baada ya wale Watatu, wa Mkaazi wa UNAL, akizungumza na Wafalme kwa sauti ambayo lazima itiiwe.

Nilikua huko kutoka utoto hadi utu uzima, nikifundishwa na baba yangu mafumbo ya mzee, mpaka wakati ulipokua ndani ya moto wa hekima, mpaka ikawaka moto unaoteketeza.
FB_IMG_1658047098867.jpg
 
Back
Top Bottom