Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

FB_IMG_1644311856195.jpg
 
Hivi kuna uhusiano wowote kati ya uchawi na ufukara/umaskini??

Na suala kuiba kwa sheria za uchawi limekaaje.Kwa mfano kama mchawi anaweza kuingia kwa mtu tajiri usiku huku mageti na milango ikiwa imefungwa,,anashindwaje kufungua begi au kabati achukue hela,,au hata achukue ATM abaini nywira aende Benki avute hela??, au hata achukue vitu vya thamani kama simu,,au ndo kusema hivi vitu tunavyoviona vya maana kama fedha kwa Wachawi sio ishu??

Nawaza labda kwa mbinu na ujuzi walionao wachawi wasingekuwa hata wanafanya kazi,,maana wana uwezo wa ku-access kila wanachotaka

Cc: Mshana Jr
 
Mchawi hahitaji hayo yote ili akaibe bank au achukue vitu vya thamani kwakuwa pesa ni mzigo na kama anaweza kuzipata pesa at a blink kwanini ahangaike na michakato yote hiyo?
Mchawi hahitaji pesa ili akanunue mahitaji atakayo kwakuwa hivyo vitu anavipata bila ya kutumia pesa
 
Kuna aina tatu za uchawi duniani White magic, black magic na Red magic ufafanuzi zaidi on request.Black magic, imepokelewa Sana afrika kwa sababu ya nature yetu. Ubinafsi, roho mbaya, chuki na husuda dini za asili zilishindwa kuviondoa hivi vinasaba vya uncivilization.
 
mkuu naomba uelezee kidogo kuhusiana na hizo aina nyingine za uchawi
 
Kuna aina tatu za uchawi duniani White magic, black magic na Red magic ufafanuzi zaidi on request.Black magic, imepokelewa Sana afrika kwa sababu ya nature yetu. Ubinafsi, roho mbaya, chuki na husuda dini za asili zilishindwa kuviondoa hivi vinasaba vya uncivilization.
Bila Uchawi nafkiri maisha ya mtu mmoja mmoja yangekuwa mbali sana kwa sisi Waafrika.
 
Back
Top Bottom