Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

FB_IMG_1658046411504.jpg
 
IKIWA UMEFANYA MAPENZI KATIKA NDOTO, tafadhali acha unachofanya na usome hii.

Nikiwa mkoa mmoja kwenye hoteli niliyokuwa nikiishi.

Asubuhi moja mapema nilipokuwa nikielekea kupata kifungua kinywa changu, nilikutana na mvulana mmoja anayefanya kazi katika hoteli hiyo.

Niliamua kujibizana naye, nikamuita ili tujumuike kwenye kifungua kinywa, akafanya na tukaanza kuongea.

Katikati ya mazungumzo aliniambia jinsi alivyohitimu kutoka Chuo Kikuu kimoja shahada ya uchumi

Tangu hapo alianza kutafuta kazi bila kuipata hadi pale alipoamua kufika hotelini na kuwa mhudumu.

Sehemu ya kusikitisha ya hadithi ni kwamba kulingana na yeye, mtu yeyote anayeahidi kumsaidia kwa bahati mbaya hufa au kuwa masikini.

Hakuelewa maisha yake lakini aliamua kuishi nayo.

Aliniambia kuwa kila anapoahidiwa kazi au mtu anapojitolea kumsaidia, ghafla anatokea mwanamke wa ajabu na kufanya naye mapenzi ndotoni na mara baada ya hayo, ahadi hiyo inashindikana.

Watu wengi wanapitia haya.

Soma hii kwa makini!!! Kufanya mapenzi katika ndoto inamaanisha kuwa umeolewa na unalala na mapepo.

Hakuna kitu duniani chenye wivu zaidi ya mume au mke wa mapepo, ukifanya mapenzi kwenye ndoto hakuna kitakachofanya kazi kimwili kwako.

Mara unapofanya mapenzi katika ndoto, unakuwa umeacha damu yako ndani ya pepo kama mwanaume na kama mwanamke pepo ameiacha damu yake ndani yako.

Popote unapokwenda, umebeba pepo ndani yako ndiyo maana kila unachojaribu kufanya kinashindikana.

Maisha yako yatafadhaika hadi uulize kama kweli Mungu yupo au la.
Screenshot_20220717-121740.jpg
 
Habari za jioni watu wangu, Mafanikio yanaweza kuwa magumu sana. Tahajia rahisi na nzuri ya kuwaangamiza Maadui hii hapa Jipatie Nge Moja, Pilipili moja kamili ya mamba. Jinsi ya kuandaa: Weka vifaa kwenye sufuria inayowaka, choma vizuri na saga vizuri, geuza chokaa juu chini na uketi kwenye chokaa, piga chale moja kichwani na tumia poda kutoka kwa spell kusugua mahali pa chale; watu wengi wanaweza kutumia kazi hiyo. Ni Tahajia nzuri sana ya kumwangamiza Adui ambayo inafanya kazi kama kurudi kwa mtumaji na kuua adui mmoja baada ya mwingine.
Screenshot_20220717-124649.jpg
 
IKIWA UMEFANYA MAPENZI KATIKA NDOTO, tafadhali acha unachofanya na usome hii.

Nikiwa mkoa mmoja kwenye hoteli niliyokuwa nikiishi.

Asubuhi moja mapema nilipokuwa nikielekea kupata kifungua kinywa changu, nilikutana na mvulana mmoja anayefanya kazi katika hoteli hiyo.

Niliamua kujibizana naye, nikamuita ili tujumuike kwenye kifungua kinywa, akafanya na tukaanza kuongea.

Katikati ya mazungumzo aliniambia jinsi alivyohitimu kutoka Chuo Kikuu kimoja shahada ya uchumi

Tangu hapo alianza kutafuta kazi bila kuipata hadi pale alipoamua kufika hotelini na kuwa mhudumu.

Sehemu ya kusikitisha ya hadithi ni kwamba kulingana na yeye, mtu yeyote anayeahidi kumsaidia kwa bahati mbaya hufa au kuwa masikini.

Hakuelewa maisha yake lakini aliamua kuishi nayo.

Aliniambia kuwa kila anapoahidiwa kazi au mtu anapojitolea kumsaidia, ghafla anatokea mwanamke wa ajabu na kufanya naye mapenzi ndotoni na mara baada ya hayo, ahadi hiyo inashindikana.

Watu wengi wanapitia haya.

Soma hii kwa makini!!! Kufanya mapenzi katika ndoto inamaanisha kuwa umeolewa na unalala na mapepo.

Hakuna kitu duniani chenye wivu zaidi ya mume au mke wa mapepo, ukifanya mapenzi kwenye ndoto hakuna kitakachofanya kazi kimwili kwako.

Mara unapofanya mapenzi katika ndoto, unakuwa umeacha damu yako ndani ya pepo kama mwanaume na kama mwanamke pepo ameiacha damu yake ndani yako.

Popote unapokwenda, umebeba pepo ndani yako ndiyo maana kila unachojaribu kufanya kinashindikana.

Maisha yako yatafadhaika hadi uulize kama kweli Mungu yupo au la.View attachment 2293999
Mimi nimeshawahi kuota nafanya mapenzi na mwanamke kama mara mbili hv but sikumjua situation kama hii unafanyaje kujiokoa kama kuna pepo mmbaya!?
 
Waafrika kuna mahali tumepigwa chenga ya mwili kisha tukaachwa solemba. Mabeberu (kwa jina pendwa la chama kikuu) walitukuta na sayansi yetu ya asili ikiwa imepiga hatua kubwa kwenye utafiti, matokeo na utendaji pia, wakaona tukiendelea nayo tutakuja kufanya makubwa na kuwaacha mbali na pengine hata kuwatawala.

Wakaona hatari na kitisho kinachowakabili. Wakaja na mbinu ya kukandia vya kwetu na kusifu vya kwao, wakafanikiwa kwenye hili. Kishapo badala ya kutufunza vya kwao vizuri wakatunyima maarifa haya.

Nasikitika kusema kwamba mwaka jana tulipanga kuwa na kongamano kubwa la wachawi na washirikina lakini lilishindikana kufanyika kutokana na serikali kutoitambua hii kaliba. Lakini cha ajabu kuna mkoa mwaka huu kuna waganga wachawi zaidi ya mia walikusanyika na kutoa ultimatum kwenye jambo la kisiasa. Imagine huo ni mkoa mmoja tu. Kuna walozi zaidi ya mia.

Kuna huyu ndugu yetu 4G LTE ameanza kutuletea simulizi za visa vya kushangaza visivyo na majibu huko Ulaya. Nina hakika visa kama hivyo vilivyokosa majibu ya kisayansi huko kwao hapa Africa vingepatiwa ufumbuzi kupitia kaliba ya ushirikina uchawi na ulozi.

Sasa hivi tumebaki tupotupo tu. Ushirikina tunaambiwa ni mbaya na hauna faida. Sayansi tunayohubiriwa kuwa ndio mkombozi tunabaniwa maarifa yake. Hebu katembelee tume ya sayansi ya Tanzania utaniambia.

Sasa ili kuweza kuwa na way forward ni vema sasa tukaandaa msimu wa kazi za kishirikina, kichawi na ulozi ili kuvunja ile miiko na dhana dhanifu kuwa hii tasnia haina mema wala faida. Maonesho husika yatasaidia kuleta mwamko mpya wa elimu ya giza, utafiti na hata matokeo yenye faida kwa jamii.

Maonesho husika yatasaidia kuondoa woga kwa baadhi ya mafundi na kufanya waoneshe kwa uwazi zana za maangamizi walizo nazo. Licha ya kuwa ni maonesho yatayakostua na kushangaza wengi lakini yatalifanya taifa lijulikane zaidi huku yakivutia utalii na kutoa msukumo wa wageni wengi zaidi kutaka kufahamu zaidi.

Najaribu kuandaa andiko mradi kisha nilipeleke wizara husika, pengine kipindi hiki tutasikilizwa.

Huwa nashangaa sana kusikia Mwafrika akisema kuwa asili na utamaduni wetu ni matambiko, ushirikina, uchawi na mengine mengi ya mkondo huo. Pengine ni kwa sababu hatuna taarifa za kina juu ya tamaduni za wazungu (Western countries and Europeans) na hii imetokana na Media Outlet nyingi zinaonyesha uzuri wa maisha yao lakini upande wa uovu/au historia yao ya uovu haionyeshwi kwenye media nyingi.

1. Kila mwaka duniani tarehe 31-10 kuna kuwa na kusanyiko la wachawi duniani (London Witches, West Africa Witches etc) hukusanyika na kuweka mipango yao sawa.

- Pengine kuna weza kusewe na wachawi Africa kama walivyo wazungu. Ni kitu ambacho kipo uhalisia, tena uchawi wao umefika levels za kufanya mchana kweupe wakiwa wamevaa suti.

Hivyo swala la imani ya giza chimbuko lake sio Africa tu kama wengi wanavyojisifia (ni ujinga by the way) bali liko duniani kote. Wazungu hutumia uchawi kufanikisha the impossible lakini watu weusi kugeuzana misukule.
 
Ukitaka kujitengeneza mvuto wa pesa ule mkali sana ukiwa nyumbani kwako ww tafuta MTULATULA chimba mizizi yake kisha kata vijipande 21 kisha kila siku utaichemsha mizizi 7 huku umeweka sarafu ya mia 500 kisha ikisha chemka ipua weka chini jifukize ukimaliza chukua ayo maji kaoge ukimaliza chukua iyo mia 500 nenda sokon kainunulie kitu chochote tumia hata ainashinda kabsa.Tumia hayo maelekezo mda wa siku 3 tu.Nakwambia hapo mambo yako ya kipesa yatafunguka kwa haraka.Utumiapo dawa iyo ndani ya dozi hutakiwi kufanya mapenzi paka izo siku 3 zipite.Asanten..
 
Hadithi ya kienyeji inasema mchawi alizikwa hapa muda mrefu uliopita. Moyo wake ulitoboka na mwili wake ukabaki uoze pale ulipolala. Mti huo ulipokua, mizizi yake ilikua ndani yake na haya ndiyo yalikuwa matokeo. [emoji50]
Screenshot_20220717-160626.jpg
 
Back
Top Bottom