Uchawi ni uchawi tu hauna rangi kwa maana vyama vyote vya giza upokea oda toka kwa masta lucifa.
Msikilize huyu mtza aliyekuwa katibu mkuu wa iluminati ameshiriki Siri nyingi sana ikiwemo suala la corona ajenda za uchafuzi wa mazingira,ameelezea chanzo cha kifo cha Papa John Paul 2,ameshiriki kutengeneza ajali ya mv bukoba, ameshiriki mikutano mikubwa ya kichawi duniani. Alishindwa jaribio moja tu la kupambana na malaika wa Mungu Ili apewe cheo cha tatu baada ya lucifa, alikuwa akiongea na shetani live. Alikutana na nguvu ya Mungu akapata ulemavu akaamua kumgeukia Mungu baada ya shetani kumkimbia kwenye mapambano.
Leo anamuhubiri Kristo