Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,703
- 218,249
Kwa sisi tunaofanya biashara za kimataifa wala hatuna shaka , shida ni hawa wanaotegemea hizi hela za madafu .Daaah hali mbaya...uchumi umetikisika
Ndio hapo mkuu shida inapoanziaKwa sisi tunaofanya biashara za kimataifa wala hatuna shaka , shida ni hawa wanaotegemea hizi hela za madafu .
Nimefurahishwa na mkakati wa TBL , wamerudisha ule mpango wa 3 buku , yaani unalipa elfu 1 halafu unapewa shingo ndefu 3 na fulana juu !Ni kweli mkuu, huwa wanakuja kuuza bidhaa zao sio maonyesho, mwaka huu itakuwa maonyesho ya kweli na kutoa bidhaa za bure za promosheni
Mbona unanifurahisha rubii watu wanawanga mchana kweupe sioWanga wengi sana humu duniani,na mchawi si mpaka akuroge.
Hela zenu zipi ? Hizi za mapanki ya dhahabu , dhahabu zenyewe ziko wapi ?Subiri tulipwe ela zetu
Umeandika ukweli sana !Kwa kuzingatia uzoefu maonesho ya aina ile na maudhui Yake ni kuwa ilipaswa Watu wawe wanaingia bure ili mradi kunakuwa na umakini mkubwa ktk kuzingatia ulinzi na usalama Kwa ujumla wake ndivyo nchi nyingine kufanya, sasa haya ya hapa kwetu sijui Kwa nini wanataka Watu waingie Kwa kulipia ? Yani kwenda kuona bidhaa au huduma zinazozalishwa au kuuzwa na Watu au makampuni Mimi mwananchi nilipie?yani ni Kwa mfano Mtu anataka kuingia Kwenye Mall au supermarket halafu Kabla ya kuingia aambiwe lipa kwanza kiingilio kwa pesa ndo ukafanye window shopping au ukanunue unachotaka, je hiyo inaingia akilini? Binafsi naona siyo Sawa hata kidogo! Mwenye hoja tofauti aseme!
Nimepakana nalo , sitaji upande nilipo kwa sababu zinazofahamika , leo wanamalizia kupaka rangi .Banda la ACACIA GOLD MINING litakuwepo?
Mbona unanifurahisha rubii watu wanawanga mchana kweupe sio