Toto la Africa
Member
- Mar 7, 2017
- 14
- 2
- Thread starter
- #21
MpaKa kufkia lini labdamjiandae soon everything itakua sawa
MpaKa kufkia lini labdamjiandae soon everything itakua sawa
Nilidokezwa mwaka ila sijajua mwezItakuwa mwezi wa ngapi mkuu
mwaka 2019MpaKa kufkia lini labda
Jiunge bokoharam uwe mtumwa wa shetani kuliko kuwa mtumwa wa mwanasiasaNi bora nijiunge bokho haramu kuliko kuwa mtumwa wa wanasiasa, tena wengi wana sifa za kibashite
Me mwenyewe nasubiriaKwa yeyote anaefahamu maombi ya kujiunga na jeshi la polisi yanatoka lini anifahamishe...na utaratibu wake kwa ujumla upoje.....

Huko jkt nako ni liniJiunge na JKT maana ajira za Polisi zinaanzia huko.
Acha kumkatisha tamaa,siyo wa levo ya digrii tu wanaochukuliwa.police mpaka uwe na digrii.