MAOMBI YA KUIOMBEA JF

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
14,893
2,000
*MAOMBI YA KUIOMBEA JF

"Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, mwingi wa Utukufu, Bwana wa viumbe wote, Muumba wa Mbingu na Dunia

Umeweka katika Dunia Forum ya whatsapp ya Dini, kifamilia, kirafiki, kielimu, kikazi, kisiasa, kibiashara ili watu watumie kama majukwaa ya kifikra, kuelimishana, Kufundishana, kuhabarishana, kupanga mikakati na kufurahishana.

Tunakuomba utupe hekima na busara sisi waja wako ambao tumekusanyika hapa kwenye Forum hili kutumia vema akili na maarifa uliyotujaalia kwa manufaa na ustawi wetu, Jf yetu na jamii kwa ujumla.

Utuepushe na watu wabaya wenye lugha za matusi, waongo, wafitini, wambea, wanaoleta mifarakano na uhasama usio na tija.

Tuunganishe na tuweke pamoja kama familia ili tunufaike na uwepo wa teknolojia hii ya mawasiliano.

Ewe Mola wetu tunaomba haya wewe ndie Muweza juu ya kila jambo.Amina

Geofrey Maseta

JF-Expert Member
Nov 24, 2015
1,117

Amen..ubarikiwe sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom