Kuna mambo nimejikuta nawazaaaaaa.....
Then nimeona nisiandike tu hapa sababu naweza onekana kama mkatili.
Yaani ulizaa mtoto wa 1, 2, 3 na 4 ndipo unakuja kukumbuka kurudi shule...

Anyways, pengine mimi nina fikiria kwa utofauti mkuu.......
Ok, ukisha pata mfadhi na ukaanza kwenda shule... watoto wako watakua wanahudumiwa na nani...??
Na...... hivi kweli unaona ni rahisi tu kuomba kusaidiwa na ukafanikiwa ilkhali tayari umezaa watoto 4 pasipo kuelezea kwanini ulifikia kuzaa watoto 4 kwanza ukitarajia nani atakusomesha baada ya kumaliza kuzaa...