Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 341
- 367
Wakuu habarini za wakati,
Mmi ni graduate katika fani ya uhasibu na tehama, na experience katika kazi za freelancing na marketing nimefanya freelancer azam pesa, pia mambo ya loan officer nimefanya kwenye moja ya microfinance na sasa nimejitolea auditing firm Premium Plus Association (PPA) kama auditor poa tukifanya kazi kama accountant
consultants katika baadhi ya kampuni kubwa tu hapa Tanzania. Tunajifunza sana na katika carrier namshukuru Mungu tunapata experience kubwa sana kulinganisha na elimu tuliokua nayo ya darasani. Wakuu shida yangu naomba mwenye connection na sehemu naweza fanya hata part time hasa katika shughuli za tax kama kuandaa tax returns na uhasibu hata kwa nafasi ya kujifunza tafadhari naomba nisaidie nataka ongeza ujuzi na experience katika hilo.