Maombi ya Ban - ya Liraisi

Maombi ya Ban - ya Liraisi

mja

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
310
Reaction score
65
JF modi, mimi JK ni limtani langu, nimisikiaga li raisi lilikweda kwenye bezidei ya madiba wakati tuna liskendo la kukosa umeme .. hata mang'ombe yangu yalishidwaga kulala usiku kwa kukosa tala. sasa mimi nilikuwa naomba kwamba, kwa nini usilipige ban hili limtani langu , likaaa hapa nchini bila kwendaga nje kwa miaka 4.

nawasilisha wajameni... wabunge wooote wa JF, muniungage mukono..iiiiiih
 
Back
Top Bottom