Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,011
- 15,858
Mimi BushDokta kwa sasa nikisikia tu hata sauti inayoambatana na mambo ya makanisa au misikiti nachukia Sana.Kama maombi kweli kweli yatatatua matatizo, basi umaskini ungeisha, magonjwa yangeponywa, rushwa ingeisha, na majanga yangezuiliwa kwa kuomba tu kwa bidii.
Lakini uhalisia haupo hivyo.
Watu wanaomba kazi badala ya kujitengenezea fursa. Wanaomba uponyaji badala ya kutafuta matibabu. Wanaomba mabadiliko wakati hawafanyi chochote kuyaleta.
Maombi yanaweza kutoa faraja ya kiroho, lakini faraja si uthibitisho wa ufanisi.
Hatuhitaji kuomba suluhisho. Tunahitaji kufikiri kwa kina, sayansi, ushahidi, vitendo, na uwajibikaji.
Acha kusubiri msaada wa kimungu. Tatua matatizo ya kibinadamu kwa vitendo vya kibinadamu.
Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
Upo mallerina, Weekend inakwendajeMimi sio Muombaji ila naamini maombi yanafanya kazi
We mdada mbona una muandiko wa kiume...Maombi sio kitu naunga mkono
Kwanza tunayemuomba hatuna uhakika kama yupo
Unaomba afya unaumwa
We mdada mbona una muandiko wa kiume...
Uko sahihi...Maombi sio kitu naunga mkono
Kwanza tunayemuomba hatuna uhakika kama yupo
Unaomba afya unaumwa
Indeed bro!Maombi si upotevu wa muda, maombi yanafanya kazi. Naamini katika Mungu, naamini katika maombi, naamini katika kufanya kazi na kuweka bidii.
Unapanguswa na washirikina kweli wewe, Sasa mtoto wa kiume unashindwa kujishikilia, mikazo zero unajiita Joanah. Washavunja duka hilo wahuniKwasababu mimi ni wa kiume
Vipi unataka nikukaze?
Kwasababu mimi ni wa kiume
Vipi unataka nikukaze?
Watu tumekesha tukiomba Lissu aachiwe lakini wapi?Kama maombi kweli kweli yatatatua matatizo, basi umaskini ungeisha, magonjwa yangeponywa, rushwa ingeisha, na majanga yangezuiliwa kwa kuomba tu kwa bidii.