suphire jay
Member
- Apr 24, 2017
- 43
- 28
- Thread starter
- #21
Wazo zuri!!! Dunia imesimamia kichwa
Ndio mabinti wadogo wameharibiwa nyeti zao inasikitisha
Wazo zuri!!! Dunia imesimamia kichwa
haya mambo yaliisha tabiriwa hata minapata wakati mgumu kusema niyaombee
Mwenyezimungu awanusuru na kadhia hii ya kupinga maandiko na tamaa za kidunia tukumbuke kuna akhera ,moto pepo.
Jamani msisahau kufunga na kuomba vijana wenu tupate mitaji tujiajiri na sisi tuanze kulipa kodi.
Yule wa kule kwa familia ya makapuku????Kwa yule pastor, usisahau eee
waombeeni na hawa wahuni wanaokimbia kisu cha ngariba wawe na ukakamavu wa kuingia jando[/QUOTE
Hamna shida. Tuanze na hili kundi kwanza