Maombi kwa Taifa langu Tanzania

mkaskaz

JF-Expert Member
May 24, 2018
515
673
Eeh Mungu Mwenyezi, ninakushukuru kwa ajili ya Taifa langu zuri la Tanzania. Mwaka huu wa uchaguzi 2020 ninaomba ututetee, haki itamalaki katika Taifa letu. Tusaidie tupate viongozi wanaolipenda Taifa letu kwa dhati (Wazalendo), viongozi wasikivu kwa Wananchi, watakaoongoza kwa haki. Tuepushe na:
1. Uonevu
2. Ubaguzi (upendeleo) wa vyombo vya dola kwa Chama Tawala.
3. Ukabila
4. Udini
5. Ukanda
6. Ubinafsi
7. Rushwa
8. Ee Mungu, saidia Taifa letu lisije kutawaliwa kidiktekta.
Nimeomba haya kwa imani, nikijua kwamba Wewe MUNGU upo, na unasikia maombi, Amina.
NB: Nafsi yangu inugua mno kwa ajili ya Taifa langu.
FB_IMG_1514921214746.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom