Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Mungu akubariki na kukulinda wakati wote.
Akubariki kifedha, na ukuimarishe kiuchumi ili usiwe wa kutegemea pesa ya mwanaume aliyeoa.
Akupe ujasiri wa kuendelea kufanya yote uliyo nayo ili kutimiza malengo yako yenye kuleta tija maishani mwako
Mungu awabariki watoto wako wote uliozalishwa na yule mwanaume aliyekuraghai kisha akakutelekeza.
Mungu akupatie mume mwema na bora zaidi kwa wakati muafaka.
Uwe na imani kwa viwango vya juu, hata utimie ule ukamilifu wa dahari.
Yeyote atakaye dharau naye pia adharauliwe.
Amen.