Maofisa wa Polisi wilayani Bahi-Dodoma, wanawanyang'anya raia pesa zao

my matter was just to derive messege not presenting language grammar huyu kuku ananijoboa kama kwamba swala la error spelling halitokeagi au nae ni askari
Yes. Na ndo Mana tuna left and right brain. Hizo zote Zina kazi zake zote.
Mfano nikiandika kuwa hata nimegeuza herufi bado utapata ujumbe. Yaani mtu huwa anajikita utadhani ni kitu ikafanyiwe research amlipe huyo jamaa.
Mpaka Uzi wa kula tunda mtu anaumiza kichwa anaona kuwa story Haina ukweli akamwambia kuwa ni chai.
Iwe chai isiwe chai mie don't pay my bills, Don't put food on table for my kids.
That's only what I care a lot.
 
Kama taifa tungefuata na kuwa na utamaduni wa Kwamba No One is Above the Law..., tungefika mbali kama binadamu, bila ya hivyo tutaendelea kulauminiana...

Na ifike wakati sababu teknolojia ipo kuwa na Camera inayorekodi yote anayofanya polisi kama ushahidi kila pale anapofanya kazi yake; hio itaondoa huku kuoneana na ubabaishaji, na pindi polisi ikibainika hakufuata utaratibu awajibishwe kama mharifu yoyote yule...
 
Nasiponiskia ninawaahidi kuna mmoja wao tutakuja kusikilizana akhera hawa jamaa kuna siku wameniudhi sana mungu mkubwa sikuwa na kitu cha uhakika ambacho ninaamini nikikitumia100% lazima niuwe, na ndio maana wakachukua pesa zangu maana sitaki nijeruhi kisha wakanitese huko nataka niuwe kabisa nami wanimalize tutakutana huko akhera kila mtu aacha familia yake inasota.
Mkuu umeandika kwa hisia na masikitiko sana. Mimi ninawadai watu niliwakopesha nikiwataka wanilipe wananijibu vibaya eti kama vipi nikitaka niwaue. Ndo maana nashindaga Jamvini kuchokoza watu na Kuwawini kisaikolojia hili nipate faraja
 
Yes. Na ndo Mana tuna left and right brain. Hizo zote Zina kazi zake zote.
Mfano nikiandika kuwa hata nimegeuza herufi bado utapata ujumbe. Yaani mtu huwa anajikita utadhani ni kitu ikafanyiwe research amlipe huyo jamaa.
Mpaka Uzi wa kula tunda mtu anaumiza kichwa anaona kuwa story Haina ukweli akamwambia kuwa ni chai.
Iwe chai isiwe chai mie don't pay my bills, Don't put food on table for my kids.
That's only what I care a lot.
sure
 
am not just for a languange grammar but my aim was just to presenting what I aimed to present. fu**ck off your thinking beyond evil mataqo wewe ninashule ambayo hata ukujumulisha mama yako na baba yako na wadogo zako wote bado hamnifikii suala la spelling error ni suala la kawaida katika maandishi usilete ujuaji ngesem wewe maku
We ni mbwaa. Nimekusaidia unanitukana siyo. Faki u sasa. You don't know even English you poor earthling. What does 'just to presenting' mean? Broken English and Swahili ad infinitum. Why don't you spend the time you wrongly spend on Jf fooling around to enrich your knowledge if you have any about anything save for abuses and insults sob. Kkkk unasema eti hatukufikii mimi na familia yangu wakati wewe huna hata sifa ya kuwa mwanafunzi wangu acha mtu wa kujibishana naye mavi ya kuku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom