Manzese na UDSM: Wali nyama imefika shilingi ngapi?

Manzese na UDSM: Wali nyama imefika shilingi ngapi?

Ulikueaukitaka kufaidi mizigo yaudsm mwishomwisho boom limekatabana had shemeji anakutamanii loh.. Ndio maantripuhii pale service yaroad yakwenda calabash mwanzoni kunAbar zinajaa wanaita Kwamamaa... Happo kunahaDimadalalii wavyuo Udsm wanakulakama 10=ardhi7000..vinginevyo 5000unaitiwa mzigowahajaloh hioo n VAT EXCL
.....hiki kigugumizi chako cha vidole ndo basi tena ntolee;
..hakina dawa!
 
hivi mama kifusi wa pale Mabibo hostel bado yupo?
 
Unaishi Dar es salaam.
Hapa Mbezi Mwisho ugali mkubwa na mboga 3( nyama, maharage na tembele) buku moja tu, hivi wapi kuna njaa hapa Tanganyika wajameni.
Au mnapindisha maneneno njaa ya pesa ndio mnaiita njaa ya chakula?
Karibu huku kijijini ujionee sie wakulima hali zetu zilivy0: mkuu sisi huku tuna UKAME( mvua zimegoma); HELA imekua ngumu coz hakuna cha kuuza mkuu.
[HASHTAG]#mahindi[/HASHTAG] yamekauka
[HASHTAG]#matikiti[/HASHTAG] yamesinyaa
[HASHTAG]#mahargwe[/HASHTAG] hayatoi maua
[HASHTAG]#nyanya[/HASHTAG] zimegoma, baridi imezishambulia
#ng'ombe hawatoi maziwa kwa wng
[HASHTAG]#ndama[/HASHTAG] wanakufa.
[HASHTAG]#mbuzi[/HASHTAG] hali zao tete.
[HASHTAG]#JUA[/HASHTAG] KALI.
 
Aisee!!!chuo boom likikata ikifika muda wa msosi unafedheheka sana.Watu tuliishi kwa kukomunika (mkate na maji) almost nusu ya maisha yetu yote ya chuo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee!!!chuo boom likikata ikifika muda wa msosi unafedheheka sana.Watu tuliishi kwa kukomunika (mkate na maji) almost nusu ya maisha yetu yote ya chuo.
Haahhaa haaaaaa! Jamani mbona umenichekesha na kunizunisha kwa wakati mmoja..
 
Ka
Hapa Mbezi Mwisho ugali mkubwa na mboga 3( nyama, maharage na tembele) buku moja tu, hivi wapi kuna njaa hapa Tanganyika wajameni.
Au mnapindisha maneneno njaa ya pesa ndio mnaiita njaa ya chakula?
Kariakoo Chai Chapati 2 buku
na ni Chapati kweli kweli hadi mchozi🙂
 
Ungejaribu kufuatilia biashara hiyo ya mama lishe ungewaonea huruma wanafanya kwakuwa tu hakuna kitu kingine ambacho atafanya, ana kopa mahitaji yote asubuhi jioni anaenda kulipa akibaki na buku mbili anamshukuru mungu!! Kwa akili ya kawaida tu huwezi ona kuwa manunuzi ya unga yamepanda? Ila hanajinsiwateja wenyewe ndio nyie ikaongezeka 200 tu ni shida.
Ume nena bro. Bimkubwa wangu ndokazi yake ana ana uza mchana jioni anehenda kulipaa madeni aliyo kopa na faida ana pata 3000 tu. Kiwa anacho wauzia wana funzi wasgule ya msingi ni tsh 100 ubwa bwa malagee nahakiongeza bei ime kulakwake
 
Najua kama uliwahi kuonywa matumizi mabaya ya hela utaaibika, hii sehemu ushapitia ni pale UDSM kuna kaukumbi watu wanalia mlo huko.

Infact ndio sehemu ya bei rahisi kuliko kote naamini standard ya msosi iko palepale. Alieanzisha wazo la Manzese abarikiwe sana else vijana wakimasikini wangeteseka sana pale UDSM.

Waliopo vipi bei nowdays?
Jumla au rejareja
 
Hapa Mbezi Mwisho ugali mkubwa na mboga 3( nyama, maharage na tembele) buku moja tu, hivi wapi kuna njaa hapa Tanganyika wajameni.
Au mnapindisha maneneno njaa ya pesa ndio mnaiita njaa ya chakula?

cheki usije kuwa unawekwa hamira.
 
Back
Top Bottom