Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,586
Najua kama uliwahi kuonywa matumizi mabaya ya hela utaaibika, hii sehemu ushapitia ni pale UDSM kuna kaukumbi watu wanalia mlo huko.
Infact ndio sehemu ya bei rahisi kuliko kote naamini standard ya msosi iko palepale. Alieanzisha wazo la Manzese abarikiwe sana else vijana wakimasikini wangeteseka sana pale UDSM.
Waliopo vipi bei nowdays?