Nawapongeza wanaManzese na hasa wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwa wakifanya biashara maeneo yasiyotakiwa kwa kuondoka salama bila madhara yoyote kutokea toka kwa polisi au wanaManzese wenyewe. Hebu tuwe na subira ili tuweze kuona matokeo ya mradi huo wa ujenzi wa barabara. Kwani kwa kutokufanya hivyo yanaweza kutokea aliyoyaamuru mtoto wa mkulima,"Wapigwe tu,tumechoka."