Manyerere Jackton: Jamuhuri kuanika ukweli kuhusu sakata la Boeing787-8

Nyie mtaendelea kuchezewa Akili kila siku
maana hamtaki kutumia Ubongo wenu kuchambua mambo,
Watu kila kukicha wanaibuka na Porojo sizizo na Mrejesho wake
Mnatakiwa mpewe mrejesho wa Bombadia kwanza kabla ya Kuzusha jingine.
Shitukeni Utawala huu mbaya kwa Wasaka Tonge
nilazima wajihami kila siku ili mjue wapo maana hoja hakuna
Je kwenye kivuko cha MV Dar es Salaam pia tulichezewa akili? Kumbuka ukishaonja nyama ya binadamu huachi...ni huyu huyu Magufuli alisimamia ununuzi wa kivuko hicho kilichogharimu mabilioni kikidaiwa ni kipya!
 
Kwa mazingira ya njaa yaliyotengenezwa,kuna Siku waandishi wa habari watasema wameliona kaburi la yesu katika makaburi ya kisutu au kinondoni!!
 
manyerere huyu aliyekuwa anamsifia katika kipindi kile alivyoyazuia yale malori na kusema jamaa yuko sahihi???? au manyerere yupi mkuu au yule alyeomba kinywaji ikulu siku ile??? au yule aliyekaribishwa wakati mkuu aliohitimu kwenye PHD yake(japo ina mashaka). mkuu hawez kuja na kitu cha tofauti huyo ingekupendeza labda ungefuta uzi wako. au unataak kuacha kuamini haya tunayoyasema
 
Nyie mtaendelea kuchezewa Akili kila siku
maana hamtaki kutumia Ubongo wenu kuchambua mambo,
Watu kila kukicha wanaibuka na Porojo sizizo na Mrejesho wake
Mnatakiwa mpewe mrejesho wa Bombadia kwanza kabla ya Kuzusha jingine.
Shitukeni Utawala huu mbaya kwa Wasaka Tonge
nilazima wajihami kila siku ili mjue wapo maana hoja hakuna
Wewe una akili gani?kutetea mitumba?
 
Ukitembea kwa wamama wauza vitumbua,wengi unakuta wanatumia gazeti la jamhuri kufungia wateja wao vitumbua,cha ajabu gazeti wanalotumia lina siku chache tangu litoke
Mnnh.... mkuu this is too low for you.
 
Back
Top Bottom