Manyerere Jackton: Jamuhuri kuanika ukweli kuhusu sakata la Boeing787-8

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,695
149,921
Hii ni kwa mujibu wa comment ya bwana Manyerere Jackton katika uzi ulioanzishwa na Kwanza TV kuhusu na swala hili.

Comment husika ni comment no.363 na amesema gazeti litatoka Jumanne na amewataka watu wenye mapenzi wasikose gazeti hilo siku hiyo.

Uzi wenyewe ni huu kwa wasiojua:

Mtaalam wa picha za Ndege athibitisha Tanzania kununua "Terrible Teen", lakini...

Tunakushukur bwana Manyerere kwa kuamua kuingia kazini ili kupata ukweli kama ulivyosema katika hiyo comment yako ila ombi letu kwako uje na details za kutosha na isiwe na kutaka kuuza gazeti tu.

Nimeamua kuanzisha huu uzi baada ya kusoma comment hiyo kutokana na uzito wa jambo hili.
 
UKWELI UNAJULIKANA NI NDEGE MPYA AMABAYO ITAKAMILIKA 2018 JUNE AU EARLY 2019

Hii ni kwa mujibu wa comment ya bwana Manyerere Jackton katika uzi ulioanzishwa na Kwanza TV kuhusu na swala hili.

Comment husika ni comment no.363 na amesema gazeti litatoka Jumanne na amewataka watu wenye mapenzi wasikose gazeti hilo siku hiyo.

Tunakushukur bwana Manyerere kwa kuamua kuingia kazini ili kupata ukweli kama ulivyosema katika hiyo comment yako ila ombi letu kwako uje na details za kutosha na isiwe na kutaka kuuza gazeti tu.

Nimeamua kuanzisha uzi baada ya kusoma comment yako hiyo kutokana na uzito wa jambo hili.
 
Nyie mtaendelea kuchezewa Akili kila siku
maana hamtaki kutumia Ubongo wenu kuchambua mambo,
Watu kila kukicha wanaibuka na Porojo sizizo na Mrejesho wake
Mnatakiwa mpewe mrejesho wa Bombadia kwanza kabla ya Kuzusha jingine.
Shitukeni Utawala huu mbaya kwa Wasaka Tonge
nilazima wajihami kila siku ili mjue wapo maana hoja hakuna
 
Mshapigwa mkwara na Mkuu kuwa watch out, you don't have that freedom of expression to that extent......

Msije shangaa kabla hamjatoa hilo gazeti lenu next Tuesday, mkajikuta mmenyakuliwa na Bashite Forces.........
Bashite Alliances Forces a.k.a wang'oa kucha.Wale vijana wana posho maalum ya utesi. Binaadamu anafanya unyama hata wanyama hawathubutu
 
Hii ni kwa mujibu wa comment ya bwana Manyerere Jackton katika uzi ulioanzishwa na Kwanza TV kuhusu na swala hili.

Comment husika ni comment no.363 na amesema gazeti litatoka Jumanne na amewataka watu wenye mapenzi wasikose gazeti hilo siku hiyo.

Uzi wenyewe ni huu kwa wasiojua:

Mtaalam wa picha za Ndege athibitisha Tanzania kununua "Terrible Teen", lakini...

Tunakushukur bwana Manyerere kwa kuamua kuingia kazini ili kupata ukweli kama ulivyosema katika hiyo comment yako ila ombi letu kwako uje na details za kutosha na isiwe na kutaka kuuza gazeti tu.

Nimeamua kuanzisha uzi baada ya kusoma comment yako hiyo kutokana na uzito wa jambo hili.
Yaani wewe bado tu umeshupalia hili suala; hukomi?
 
Hivi Manyerere aliyeomba wiski (pombe Kali)ikulu unaweza kumuamini kuandika ukweli kuhusu TT?

Anamiliki ghorofa ambalo kamaliza kulijenga baada ya uchaguzi,ambalo halina Maelezo mazuri kwa kipato cha mwandishi wa habari wa kawaida Tanzania.

Ntashangaa kama ataisema vibaya TT wakati juzi tu aliomba gazeti lake lipewe matangazo!

Time will tell!!
 
Journalism inapofanya kazi ya kuwaaminisha watu waamini upande fulani,basi si journalism ....ni propaganda ......news management!

Spinning!
 
Hivi Manyerere aliyeomba wiski (pombe Kali)ikulu unaweza kumuamini kuandika ukweli kuhusu TT?

Anamiliki ghorofa ambalo kamaliza kulijenga baada ya uchaguzi,ambalo halina Maelezo mazuri kwa kipato cha mwandishi wa habari wa kawaida Tanzania.

Ntashangaa kama ataisema vibaya TT wakati juzi tu aliomba gazeti lake lipewe matangazo!

Time will tell!!
Kwa Maelezo yako ni kama umemaanisha kuwa serikali inatoa rushwa kwa kuwapa matangazo vyombo vya habari ambavyo havitawaandika vibaya!
 
Manyerere Jacton ni swahiba wa JPM hawezi kuandika negative, mtakuja kuniambia
 
Hivi Manyerere aliyeomba wiski (pombe Kali)ikulu unaweza kumuamini kuandika ukweli kuhusu TT?

Anamiliki ghorofa ambalo kamaliza kulijenga baada ya uchaguzi,ambalo halina Maelezo mazuri kwa kipato cha mwandishi wa habari wa kawaida Tanzania.

Ntashangaa kama ataisema vibaya TT wakati juzi tu aliomba gazeti lake lipewe matangazo!

Time will tell!!
mkuu embu leta ushahidi vizuri unajambo la msingi sana
 
Naona wameamua liwalo na liwe. Asiyejaribiwa ni LAZIMA ajaribiwe. Mungu tu ndiyo hajaribiwi Mkuu.

Gazeti la Jamhuri weshasahau mkwara aliopiga Mkuu kuwa watch out, you don't have that freedom of expression to that extent!?

Msije shangaa kabla hamjatoa hilo gazeti lenu next Tuesday, mkajikuta mmenyakuliwa na Bashite Forces.........
 
Manyerere jakton alieomba wisk na matangazo ikulu? mm wala sitajisumbua kununua icho kipeperushi chake.
 
Yaani wewe bado tu umeshupalia hili suala; hukomi?
Bora wamridhishe. Aliisha kosa hata utamu kwa mumewe kwa ajili ya sonona kisa taarifa ya zito si ya kweli na hakuna chombo cha habari chenye kujiheshimu kinacholizungumza.
Sasa afarijiwa na Manyerere mhariri wa magazeti ya udaku nchini na blo. Sijui kutakuwa na tofauti gani kati ya fb,jf na Jamhuri. Vyombo hivi hadhi yake kama mtoto wa miaka mitatu hata akituka husamehewa hivyo hawana hofu kujiingiza kwenye udaku.
 
Utawala wa awamu hii kiboko. Ulaji hakuna. Watu wameanza kutafuta pesa nje ya kuwa mawakala wa kupinga Boeing. Tumeshanunua kwani sisi ndio waamuzi wa mambo ya nchi hii kutokana na kupewa ridhaa na wananchi. Nyie mnatumika na makampuni yanayoshindana na Boeing. Kwa taarifa yenu tukimaliza hiyo tunanunua Boeing nyingine.Sisi na Boeing tu. Kelele zenu pigeniii mkichoka mtanyamaza. Imetoka hiyo. Unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe. Hata mimi naweza create account kama hiyo mnayoiita ya mtaalam wa picha. Fankuuuuuuuro
 
Manyerere jakton alieomba wisk na matangazo ikulu? mm wala sitajisumbua kununua icho kipeperushi chake.
Inawezekana hicho kipeperushi ikawa ndio tangazo aliloomba,tukiite HABARI TANGAZO,doing PR and damage control

The end justifies the means.....that's how that paper survives
 
Huyuhuyu aliyeomba matangazo ya serikali kwenye gazeti lake? Ila nina imani kuwa hiyo ndege ni mpya
 
Ukitembea kwa wamama wauza vitumbua,wengi unakuta wanatumia gazeti la jamhuri kufungia wateja wao vitumbua,cha ajabu gazeti wanalotumia lina siku chache tangu litoke

Back
Top Bottom