Bin Mngereza
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 610
- 269
Hahahahaaaa mashkolo mageni Gwangambo mi ni Buddhist tena ni vegetarian lakini pia ni mkristo na naziheshimu mno hizi imani mbili
Kijana mjasiliamali huyo Apologise lady anapiga hela za wajinga sio mchawi wala nini kaona fursa na kaitumia ipasavyo.
Yeah sure......Karma is a bitch and never say neverKwenye imani ya Budha kuna kitu kinaitwa (karma)cause and effect yaani ufanyalo leo ndio litaleta matokeo ya baadae(future)
Achinjaye atachinjwa
Atesaye atateswa
Auaye atauwawa
Atendaye mema atalipwa mwema! Chunguza vifo vingi vya wauza nyama havina mwisho mzuri...!! Manyaunyau atakufa kifo kibaya na cha mateso kwa matendo yake ya sasa
Yeah sure......Karma is a bitch and never say never
Nimekusoma mtani.......Mmh ila Rural Swagga neno 'bitch' si zuri kivile kiafrika
Umefutilia mwisho wake?Kijana mjasiliamali huyo Apologise lady anapiga hela za wajinga sio mchawi wala nini kaona fursa na kaitumia ipasavyo.
Hahahahahaa kaka mshana huyu mkuu kuna tetes alimpiga warabu mmoja milion kama mia kadhaa sasa ndan ya chezo la kupgana changa kuna watu waliipigwa changa wakaamua kuunguza pcha ishuikBumbuluka nasikia sasa yupo sero ila sina hakkkaKwenye imani ya Budha kuna kitu kinaitwa (karma)cause and effect yaani ufanyalo leo ndio litaleta matokeo ya baadae(future)
Achinjaye atachinjwa
Atesaye atateswa
Auaye atauwawa
Atendaye mema atalipwa mwema! Chunguza vifo vingi vya wauza nyama havina mwisho mzuri...!! Manyaunyau atakufa kifo kibaya na cha mateso kwa matendo yake ya sasa
Ni kweli yuko nyuma ya vyuma anakula ugali wa bureHahahahahaa kaka mshana huyu mkuu kuna tetes alimpiga warabu mmoja milion kama mia kadhaa sasa ndan ya chezo la kupgana changa kuna watu waliipigwa changa wakaamua kuunguza pcha ishuikBumbuluka nasikia sasa yupo sero ila sina hakkka
Kisa ni iko au mengine maana mm nimepata maneno ya juu kwa juu na magar yake hayapo roadNi kweli yuko nyuma ya vyuma anakula ugali wa bure
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] nalo nenoKwenye imani ya Budha kuna kitu kinaitwa (karma)cause and effect yaani ufanyalo leo ndio litaleta matokeo ya baadae(future)
Achinjaye atachinjwa
Atesaye atateswa
Auaye atauwawa
Atendaye mema atalipwa mwema! Chunguza vifo vingi vya wauza nyama havina mwisho mzuri...!! Manyaunyau atakufa kifo kibaya na cha mateso kwa matendo yake ya sasa
Haha kumbe ndo afanye makeke yake sasa eboo!!Yuko lupango