Manyara: Wanachama 139 wa CHADEMA watimkia CCM

John Walter

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
68
Reaction score
63
IMG-20180120-WA0019.jpg

Taarifa ambazo WALTER HABARI imezipata zinaeleza kuwa WANACHAMA 139 wa Chadema wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro, wamejiunga na CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM wa Mkoa wa Manyara Mosses Komba.

Akizungumza wakati wa kuwapokea na kuwakabidhi kadi za CCM wanachama hao wapya, Komba alisema wamefanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Komba alisema hawatajuta kujiunga na CCM kwani hivi sasa chama hicho kinachoongozwa na Mwenyekiti wake Rais John Magufuli kinawatumikia wananchi kwa kutatua kero na kuufanikisha maendeleo.

Alisema wanakaribishwa CCM kwa moyo mmoja hivyo washirikiane na wanachama wengine ili kuhakikisha wanalirudisha jimbo hilo na kata sita zinazotawaliwa na Chadema. "Kati ya makosa tuliyofanya kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni kuachia jimbo la Simanjiro liende Chadema na kata za Mirerani, Naberera, Loiborsiret, Ruvu Remit, Loiborsoit na Endiamtu zichukuliwe na wapinzani," alisema Komba.

Alisema ushabiki wa kufuata mkumbo ndiyo uliowagharimu wananchi wa wilaya hiyo na kata hizo, hadi kusababisha wakapatikana madiwani na mbunge wa kutoka upinzani badala ya CCM."Nakuagiza Mwenyekiti wa UVCCM wa wilaya ya Simanjiro, Thomas Mollel na wenyeviti UVCCM wa kata husika ambazo madiwani wao ni wapinzani, mkishindwa tena 2020 mjiuzulu," alisema Komba.

Alisema vijana ndiyo nguzo kubwa ya ushindi kwenye chama hicho na wamepata mwamko wa kushiriki kuwajulisha wananchi kuwa CCM ndiyo chama cha kukimbilia. Mjumbe wa baraza la utekelezaji UVCCM mkoa wa Manyara, Elizah Ladis alisema tangu waanze ziara ya kutembelea wilaya za mkoa huo mwezi Desemba mwaka jana, hiyo ndiyo idadi kubwa ya wapinzani 139 kujiunga na CCM.
 
Hongera Mnyeti, ndio akili za watawala wetu zilikoishia! Anyawy, umeshuka kiwango hata hivyo, kutoka madiwani hadi wanachama sasa.
 
Kwa hiyo tunasema viwanda 139 vimejengwa,hongereni sana
 
Hivi CHADEMA walikuwa na wanachama wangapi? Inaonekana hawaishi na kila mara mamia kwa mamia wanahama?!
 
big freaking deal!

hata KGB walikuwa wanajifanya ku-defect kwenda CIA lakini DNA ya KGB ikaendelea kuwepo.

ndiyo maana rais wa sasa ni kichaa Trump.
 
Km idadi ya wanacdm tunaoambiwa wanahama,toka walipoanza kusema,basi kuna mawili
1:chadema inawanachama wengi sana kuliko hata ccm na hii ni ushahidi wa wao kuibiwa kura zao
2:chadema imeshakufa wamebaki viongozi na wafia chama,
Kinyume na hapo ni propaganda tu
 
IMG-20180120-WA0019.jpg

Taarifa ambazo WALTER HABARI imezipata zinaeleza kuwa WANACHAMA 139 wa Chadema wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro, wamejiunga na CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM wa Mkoa wa Manyara Mosses Komba.

Akizungumza wakati wa kuwapokea na kuwakabidhi kadi za CCM wanachama hao wapya, Komba alisema wamefanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Komba alisema hawatajuta kujiunga na CCM kwani hivi sasa chama hicho kinachoongozwa na Mwenyekiti wake Rais John Magufuli kinawatumikia wananchi kwa kutatua kero na kuufanikisha maendeleo.

Alisema wanakaribishwa CCM kwa moyo mmoja hivyo washirikiane na wanachama wengine ili kuhakikisha wanalirudisha jimbo hilo na kata sita zinazotawaliwa na Chadema. "Kati ya makosa tuliyofanya kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni kuachia jimbo la Simanjiro liende Chadema na kata za Mirerani, Naberera, Loiborsiret, Ruvu Remit, Loiborsoit na Endiamtu zichukuliwe na wapinzani," alisema Komba.

Alisema ushabiki wa kufuata mkumbo ndiyo uliowagharimu wananchi wa wilaya hiyo na kata hizo, hadi kusababisha wakapatikana madiwani na mbunge wa kutoka upinzani badala ya CCM."Nakuagiza Mwenyekiti wa UVCCM wa wilaya ya Simanjiro, Thomas Mollel na wenyeviti UVCCM wa kata husika ambazo madiwani wao ni wapinzani, mkishindwa tena 2020 mjiuzulu," alisema Komba.

Alisema vijana ndiyo nguzo kubwa ya ushindi kwenye chama hicho na wamepata mwamko wa kushiriki kuwajulisha wananchi kuwa CCM ndiyo chama cha kukimbilia. Mjumbe wa baraza la utekelezaji UVCCM mkoa wa Manyara, Elizah Ladis alisema tangu waanze ziara ya kutembelea wilaya za mkoa huo mwezi Desemba mwaka jana, hiyo ndiyo idadi kubwa ya wapinzani 139 kujiunga na CCM.
Kule yupo munyeti yule munyeti ni ... mjomba
 
Alaa kumbe ni CCM pekee inaruhusiwa na katiba ya nchi kufanya siasa; maana kila kukicha ni wao tu kupokea wanachama wapya; hii katiba yetu ina upendeleo sana kha
 
Huu mchezo hauhitaji hasira watu wamekuwa wajanja, hakuna cha kuhama hapo wanapooza upepo tu kwa asiye jua undani wa haya matukio atashangilia sana
 
Back
Top Bottom