nobodylikedme
JF-Expert Member
- Apr 5, 2018
- 741
- 769
hao wote watarudi CHADEMA October 2020 upepo utakapobadilika
nchi imejaa opportunists hii
nchi imejaa opportunists hii
[emoji16][emoji16] hyo thread imefufuliwa ; bt wasiosoma tarehe wamekurupuka kulalamikaHapo kabla nilikua napenda sana kuangalia Movie za Vita kati ya Marekani v/s Vietnam. Hawa Vietnam tulikua tukiwaitaga "Wavete". Hizi movie za "Wavete" sifa yao kuu ilikua kwamba movie moja wanaigiza wengi sana hawa "wavete".
Yaani Sterling anaweza akawa anamimina risasi sehemu moja wanakufa kama 30 hivi lakini akisonga mbele anaenda kuwakuta wengine nyomi vilevile. Au hata hapo hapo alipoawaua hao 30 wanatokea wengine tena wengi tu. Waweza kuta Wamarekani Masterling (Makomandoo) wako wachache lakini hawa "Wavete" walikua wa kumwaga tu.
Sasa bana nikawa najiuliza kwenye malipo "in reality" inakuaje. Yaani kama Movie moja wamekufa "Wavete" zaidi ya 200 watalipwaje sasa Moie ikishauzwa? Si wakigawana masterling na hao wavete 500 kutakua hakuna faida? Na wanawapata wapi watu wote hao 500 wa kuigiza? Hili swala nilikua nalifikiria sana kipindi hicho.
Sasa bana miaka ya hivi karibuni nkasema nifanye ka utafiti nini ilikua inatokea that time. Kumbe bana wale "Wavete" walikua labda 20 tu hivi moie nzima, sema kila wakiuliwa camera inavyohama nao wananyanyuka tena na kwenda kuigiza kwengine.
Movie mmoja inaweza kuonyeshwa "Wavete" hata 500 kumbe ni hao hao 20 tu labda, sema ndio wanahama hama tu location
sema sababu ya nyuma ya pazia hatuyajui ndio maana tunadhani wako wengi sana hao "Wavete"
.
Nimekumbuka sana huu mchezo baada ya kuisoma hii thread.