MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 630
wakurupukaji njooni hapa 🙄
Kimya kimya?Hapa monduli jana Chadema tumepokea wana CCM 2834 wamesema hawapangiwi.
Siku hizi sio viongozi tena... Siku hizi ni wanachama
Magufuli kafungia vyombo vya habari tuna wiki sasa watanzania hawaangalii televisheni za ndani unategemea watapata wapi habari?Kimya kimya?
Kujidanganya hakusaidii lakini.Magufuli kafungia vyombo vya habari tuna wiki sasa watanzania hawaangalii televisheni za ndani unategemea watapata wapi habari?
Hapa monduli jana Chadema tumepokea wana CCM 2834 wamesema hawapangiwi.
Lakini usisahau nilitabiri mwaka jana hivyo bado niko sahihi.MUWE MNASOMA NA TAREHE YA THREAD ; NIMEIFUFUA MAKUSUDI NIONE WASIOSOMA TAREHE
soma tareheJAMANI 1.5 ZETU HADI ZIISHE SI TUTAPOTEZA WAJINGAWAJINGA WENGI!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]soma tarehe
Jiwe anaweza kuagiza fedha zote za miradi ya maendeleo zisipelekwe kabisa huko. Tena huyo mbunge aliyesababisha kupoteza watu 2834 shauri yake maana hapo ni sawa na kumchezea korodani simbaHapa monduli jana Chadema tumepokea wana CCM 2834 wamesema hawapangiwi.