The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,730
- 120,218
Sure mkuu,kabla ya kutoa ushauri au kutafuta solution ni vizuri zaid kujua root cause ya tatizo,huwezi kutoa ushauri au hukumu kwa just the surface level of symptom,kumaliza tatizo ni kuuondoa mzizi wa tatizo ili tatizo lisijirudie tena.Yaan mambo ya ndoa huwa sio ya kukurupuka kushauri juujuu tu.
Mpaka pande mbili zikalishwe
Kuna jambo mdada alilianza yeye
Si aondoke tu,Wakuu kuna Binti ndoa yake Ina changamoto sana ye na mumewe....mumewe anamnyanyasa mno,kwa kushirikiana na mama mkwe,yaan mama mkwe katoka mkoani hadi mjini anapoishi mwanae wa kiume,ili tu aje kupambana na mke mwana ili aondoke!
Picha linaanza jamaa amuachii hela ya kula mkewe,watoto anawapa hela wakale kwa mama lishe, mama mkwe anamuambia mwanae kuwa Kijijinj tayari washamtafutia mke mwingine amtimue huyu wa sasa, na wamezaa watoto wawili! Na Wana nyumba!
Kesi yao ishafika serikali za mtaa lakini anasema wanamzingua tu, ni hatua gani anaweza kufuata huyu binti apate haki yake,. Alitegemea ujio wa mama mkwe utaleta suluhu ya mgogolo wao,lakini imekuwa ni kinyume chake!
Nini afanye! Hatua gani afuate labda?
Wewe ni nani yake ?Wakuu kuna Binti ndoa yake Ina changamoto sana ye na mumewe....mumewe anamnyanyasa mno,kwa kushirikiana na mama mkwe,yaan mama mkwe katoka mkoani hadi mjini anapoishi mwanae wa kiume,ili tu aje kupambana na mke mwana ili aondoke!
Picha linaanza jamaa amuachii hela ya kula mkewe,watoto anawapa hela wakale kwa mama lishe, mama mkwe anamuambia mwanae kuwa Kijijinj tayari washamtafutia mke mwingine amtimue huyu wa sasa, na wamezaa watoto wawili! Na Wana nyumba!
Kesi yao ishafika serikali za mtaa lakini anasema wanamzingua tu, ni hatua gani anaweza kufuata huyu binti apate haki yake,. Alitegemea ujio wa mama mkwe utaleta suluhu ya mgogolo wao,lakini imekuwa ni kinyume chake!
Nini afanye! Hatua gani afuate labda?
Dah wabongo bhana,
Dkt gwajima User name yake humu ni verified na imeandikwa Cheo chake,
Sasa mbona tena unataka kutoka nje ya mada yako?
Pamoja mkuu.Dah wabongo bhana,
Dkt gwajima User name yake humu ni verified na imeandikwa Cheo chake,
Sasa mbona tena unataka kutoka nje ya mada yako?
Aache haki zake mkuu.Si aondoke tu,
Mimi ni mtanzania mwenzake .Wewe ni nani yake ?
Haki kama?Aache haki zake mkuu.
Mwambie ajiunge JF sasa ushauri tunaotoa utampaje au na ww unataka jamaa akunyanyase.Mimi ni mtanzania mwenzake .
Huna adabu ujue😅Bwashee msihi dada yako atulie akifukuzwa hapo na wewe unaondoka kwa shemeji
Ndoa ni utapeli wa wazi waziHuna adabu ujue😅
Hakuna anayeshikiwa panga! Tupunguze viherehere!Ndoa ni utapeli wa wazi wazi
Gentleman,Wakuu kuna Binti ndoa yake Ina changamoto sana ye na mumewe....mumewe anamnyanyasa mno,kwa kushirikiana na mama mkwe,yaan mama mkwe katoka mkoani hadi mjini anapoishi mwanae wa kiume,ili tu aje kupambana na mke mwana ili aondoke!
Picha linaanza jamaa amuachii hela ya kula mkewe,watoto anawapa hela wakale kwa mama lishe, mama mkwe anamuambia mwanae kuwa Kijijinj tayari washamtafutia mke mwingine amtimue huyu wa sasa, na wamezaa watoto wawili! Na Wana nyumba!
Kesi yao ishafika serikali za mtaa lakini anasema wanamzingua tu, ni hatua gani anaweza kufuata huyu binti apate haki yake,. Alitegemea ujio wa mama mkwe utaleta suluhu ya mgogolo wao,lakini imekuwa ni kinyume chake!
Nini afanye! Hatua gani afuate labda?
Asamehe tu , nyumba ni kwa ajili ya kuishi watoto , kama anataka nyumba abaki nyumbani na watoto wake.Haki zake atazipataje wkt wamejenga?
Lazima kulisemea hili au ianzishwe campaignHakuna anayeshikiwa panga! Tupunguze viherehere!