Wapi ilipo?25 edition perfume for men inauzwa 77,000 ni kiboko kila mtu atataman aitumie
😅😅😅😅 jamaa ulivosikia cool water ni laki moja na 30 ukauliza na picha kabisa.picha ya cool water
Elekeza vizuri Mkuu tumuingishe kupata hiyo flavor ya cool mixZipo hapa kuna jamaa anachanganya aina 3 au 4 inatoka bonge la pafyum mautamtamu namna yake nenda hapo sokoni karibu na msikiti
Oil perfumes za kupima.Nahitaji jina la perfume nzuri ya kiume isiyozidi 20K.
Creed aventus iko vyediiiii.Oil perfumes za kupima.
Waweza chukua yoyote unayotaka
Suggestion yangu kwako ni Opium black,Creed Aventus au Sauvage.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wanaume wanaopenda marashi makali hii ndo yenyewe.Creed aventus iko vyediiiii.
Kwa Dar napata wapi hiyo ?Oil perfumes za kupima.
Waweza chukua yoyote unayotaka
Suggestion yangu kwako ni Opium black,Creed Aventus au Sauvage.
Sent using Jamii Forums mobile app