Manufaa ya mkojo na kinyesi cha sungura

Mkojo wa sungura????
Huyu atakuwa ameagizwa na waganga maana huko hadi mkojo wa sisimizi deal
 
Hii ni kama ile ya kuku aina ya kuchi, na pia sarafu ya rupia ya mjerumani. Tumedanganyana sana kuwa vitu hivi vinahitajika sana, kumbe uongo mtupu
 
Awatafute watu wa Namaingo wao ndio usema kuna soko, huenda wakamsaidia. Poleni sana kwa Tengeru hakuna wateja wa hiyo product
 
Mkimaliza mkojo wa Rabbit mnijuze maana kuna nyoka pia aina ya green na black mamba mwenye kuwahitaji aniambie nimuelekeze pori walilopo soko linahitajika!
 
Kijijini kwetu kila mtu alihamasika kufuga sungura!...sungura wanalipa! sasa ilipofika wakati wa kuuza hawakuliona soko ...Bongo maagizo haytaisha!
 
Back
Top Bottom