Manual na Automatic

halafu sidhani kama kuna gari ndogo zinatoka ambazo ni Manual. transmission kwa sasa
kama ipo ipo nitafutie IST manual mkuuu
Gari ndogo zipo mkuu lkn ist sijaona!ila kuna toyota probox manual zipo ambazo injini yake yafanana na ya ist.

Sikiliza Toka Kwangu!
 
Nafikiri alimaanisha acceleration, from 0 to 180km/h in 3secs.... uwezo wa gari kugain speed ndani ya muda mfupi, hii unaweza kunote pale mnapopunguza mwendo kwenye tuta, baada ya hapo mwenzio anakuacha kama vile umesimama....Ila kwa hizo data sijui unaondokea gia namba ngapi....
Nashkur kwa kumuelewesha mkuu, hvo ndivyo nlivokua namaanisha. Kuhusu kuondokea gia namba ngapi, iko hvi. Nilivopanda hyo gar pale kwenye gia kuna kma kimtambo glan kimefungwa, afu hcho kimtambo kina vigia vingine vi2. Wakat anafanya huo mchezo waku-accelerate more speed in few second nliona akitumia hvo vigia vilivo kwenye kimtambo. Kisha baada ya gar kua kwenye kasi kubwa anaanza kutumia ile gia yakawaida. Kwa maelezo yke jamaa anasema kile kimtambo ni booster tu.
 
OK nimekupata, inawezekana mambo ya teknolojia

Ishu yangu hapo ni kuhusu hizo sekunde tatu...yaani ukihesabu moja... mbili...tatu...gari iliyokuwa imesimama sasa ipo kwenye speed 180 (odometer inasoma 180km/h)....na hizo process ulizoelezea....au labda ni dakika tatu
 
Mkuu, hyo ni sekunde tatu tu. Na wala dereva hapotezi mwelekeo, usichukulie kma gar yakawaida, kuna vitu vingi vimeongezwa pale binafsi siwez kuvieleza vyote. Ni sekunde 3 mkuu, si dakika..

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujidanganya na kujiweka kwenye fungu la wajinga Dereva mzuri ni yule anaeendesha gari zote kwa makini na kanuni zote za usalama barabarani hakuna Dereva wa automatic zile ni gari za walemavu wazima tunaendesha tu kwa kuwa ndiyo zipo Gari ya Dereva ni manual tu

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
bora useme wewe manual ndio gari haswa ndio maana hata bei zake ziko juu
 
We mtoa mada kwani lazima kila mtu awe dereva mana ulivoshupalia et mdada anaendesha auto sijui nin wengine bora tukae siti ya kushoto tunachat sio kila mtu awe driver.
 
mimi niliona toyota platz manual inauzwa mtandaoni iko japan

Hiz auto weng wetu tumeanza ona Juz ila zipo toka miaka 70 ila hapa Tz zimekuja juz juz ndo mana tunashangaa pia kua na AT au MT n chaguo la mtu pia watengenezaji wanaangalia soko.
 
Hahahaha yaani sisi wabongo bhana ovyo tu.Magari wanatengeneza wengine mtu anakuja kupangia watu waendeshe magari gani.Au ndio nyie wagunduzi wa leseni nini? Hawa ndio wale enzi za utoto wakiona ndege au gari inapita wanasumbua watu huku wakikimbiakimbia hovyo na vibukta wakipiga kelele "NDEGE YA BABA" mara "GARI LA BABA"
 
kwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini ukimwambia awashe gari yenye mfumo wa manual transmission hawezi, jua kabisa katika kundi la madereva wewe haupo,

Ukienda arusha unakuta dada anaendesha manual transmission hadi raha halafu wewe kidume hata ukipewa funguo huwezi kuwasha, na wakina dada mnaoendesha magari yenye mfumo wa automatic yaani nyinyi ndio vilaza kabisaaa na siwezi kuwakalia karibu endapo nitagundua mwanamke ndio a aendesha.

Mwanamke anaendesha auto she always a learner no matter how long she have been riding.

Real men use three pedal
Uko sawa..nina gari moja nzuri sana ninaiuza,lakini eti kila anaekuja kuitazama anasema mmmmh Manual hawezi,tena unakuta ni mwanaume mzima aisee..dah

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Uko sawa..nina gari moja nzuri sana ninaiuza,lakini eti kila anaekuja kuitazama anasema mmmmh Manual hawezi,tena unakuta ni mwanaume mzima aisee..dah

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA

Sasa uanamke au uanaume unapimwa kwa kudrive auto au Manual sometimes naamin anaekaa kushoto ndio Wa bosslady au Boss. Ila aliekaa kulia kugusa gusa sijui nin mara miguu hiv na vile n kama mbwa aliefungwa minyororo
 
Uko sawa..nina gari moja nzuri sana ninaiuza,lakini eti kila anaekuja kuitazama anasema mmmmh Manual hawezi,tena unakuta ni mwanaume mzima aisee..dah

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA

Hyo gari imekushinda wewe kafugie mabata tu.Tho i drive AT and MT
 
Nashkur kwa kumuelewesha mkuu, hvo ndivyo nlivokua namaanisha. Kuhusu kuondokea gia namba ngapi, iko hvi. Nilivopanda hyo gar pale kwenye gia kuna kma kimtambo glan kimefungwa, afu hcho kimtambo kina vigia vingine vi2. Wakat anafanya huo mchezo waku-accelerate more speed in few second nliona akitumia hvo vigia vilivo kwenye kimtambo. Kisha baada ya gar kua kwenye kasi kubwa anaanza kutumia ile gia yakawaida. Kwa maelezo yke jamaa anasema kile kimtambo ni booster tu.
Mkuu sidhani kama upo sahihi hiyo gari kufika 180kph in 3sec ni UONGO labda kama unataka kusema hiyo ni super car. Bugatti chiron inafika 100kph in 2.5 sec halafu hiyo ifike 180kph in 3 sec....????hapana

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom